Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya igunga kupandishwa cheo kwa kazi nzuri ya kuchakachua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya igunga kupandishwa cheo kwa kazi nzuri ya kuchakachua

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by zamlock, Oct 4, 2011.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,850
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  KWA HABARI NILIZOPATA KUTOKA KWA MTU WA KARIBU NA MKURUGENZI wa halmashauri ya wilaya ya igunga ni kwamba katika mazungumzo yao alikuwa akisema hali ya igunga ilikuwa mbaya sana hasa kwenye sakata zima la uchaguzi huu uliopita na inavyosemekana kama ccm isingeshinda jamaa alikuwa abebe vilago vyake kwa sababu asingekuwa na kazi kabisa.

  Kwa mjibu wa maelezo yake ni kwamba hali ilikuwa tete sana kwa ccm kwa sababu inasemekana walikuwa wakikaa na kujadili juu ya chadema kuja igunga kwa muda mfupi na kukubalika kwa kiasi kikubwa sana na nguvu waliyokuwa nayo chadema hakika ccm ilikuwa ni pigo kwao kwa sababu walishindwa wafanye nini na ahadi iliyopo saizi kwa mkurugenzi ni muda wowote kupandishwa cheo kulingana na kazi aliyoifanya kwa kupola haki za wana Igunga.

  Hizo ndizo habari nilizopata kutoka kwa mtu wakaribu na mkurugenzi sasa yetu macho juu ya zawadi atakayo pewa na mwenye habari zaidi atuweke hapa tushirikiane kujadili hili.
   
 2. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,272
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  malipo hapa hapa duniani
   
 3. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 1,831
  Trophy Points: 280
  kama ni kweli kwa hali niliyoisikia ccm haikubaliki kabisa igunga mjini huyo bwana kafumu atapata shida kama mbunge wa shinyanga jamaa hakubaliki hadi inatia huruma kwa kafumu itakuwa rahisi maana sidhani kama atakaa igunga.mambo ya kulazimisha ni mabaya sana na hawa wakurugenzi sehemu nyingi wamenyima watu haki zao.
   
 4. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,069
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Yale ya yale Col. Massawe, Karagwe na sasa mkuu wa mkoa wa Kagera. Kwa serikali na CCM na uongozi wa JK kila kitu kinawezekana.
   
 5. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,837
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Haya tutege masikio tuone yapi yatajiri maana JK na CCM hawana haya kabisa .
   
 6. J

  John Marwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Peleka umbea wako huko nyie ndio mmesababisha Chadema iangukie pua Igunga kwa kuleta kila siku post za kushabikia badala ya kueleza hali halisi ya Igunga! Watu wakajua kweli CCM iko hoi kumbe umbea umbea tu!
   
 7. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,395
  Likes Received: 1,550
  Trophy Points: 280
  Mh! Ninamashaka na hii habari, ngoja niendelee kutazama matangazo ya vifo tbc, nitarudi tena
   
 8. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,680
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kumbe sasa tumefunguka macho kazi za wakurugenzi wa maendeleo wilaya mikoa na wakuu wamikoa na wilaya kazi zao hasa ni kuhakikisha CCM idumu madarakani??????????? Kazi tunayo!!!!!!!!!!!
   
 9. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,173
  Likes Received: 1,036
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli,basi Tanzania tunayoitaka kwa Watanzania wengi masikini basi itakuwa mbali sana kuifikia.
   
 10. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,526
  Likes Received: 2,452
  Trophy Points: 280
  Habari za kimbea kama hizi peleka facebook.
   
Loading...