Mkurugenzi wa Habari Chama cha CUF Abdul Kambaya atoa neno katika mkutano mkuu Chadema leo

CUF Habari

Verified Member
Dec 12, 2019
239
250
Inst-image-4.jpg

''Wajumbe mnajukumu kubwa sana katika Uchaguzi huu,wako watu wanadhani Mwenyekiti wa chama anaweza kupatikana kwa shinikizo kutoka kwenye Mitandao ya Kijamii'' #LiveKutokaMlimaniCity. #MkutanoMkuuChadema.
 
MSELA WA MANZESE

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,605
2,000
SIASA BANA HUYU ABDUL KAMBAYA ALIYEKUWA ANAICHUKIA CHADEMA YEYE NA LIPUMBA LEO HII KAJIUNGA NA CHADEMA AMA KWELII

WAJINGA NDO WALIWAO
View attachment 1296208
''Wajumbe mnajukumu kubwa sana katika Uchaguzi huu,wako watu wanadhani Mwenyekiti wa chama anaweza kupatikana kwa shinikizo kutoka kwenye Mitandao ya Kijamii'' #LiveKutokaMlimaniCity. #MkutanoMkuuChadema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sweettablet

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
6,475
2,000
View attachment 1296208
''Wajumbe mnajukumu kubwa sana katika Uchaguzi huu,wako watu wanadhani Mwenyekiti wa chama anaweza kupatikana kwa shinikizo kutoka kwenye Mitandao ya Kijamii'' #LiveKutokaMlimaniCity. #MkutanoMkuuChadema.

Huu ujumbe unaenda zaidi ya hapo. Kuna baadhi ya watu wanaaminishwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa watakuwa wagombea urais wa vyama vyao hata kama sasa hivi wana migogoro na hivyo vyama wanavyotaka kuvitumia kugombea. Tena wanaaminishwa na wanaamini wao ni zaidi ya hivyo vyama wanavyotaka kuvitumia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom