Mkurugenzi wa FBI: China inatoa vitisho vya muda mrefu kwa Marekani

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,286
2,000
Mkurugenzi wa shirika la FBI nchini Marekani amesema kwamba vitendo vya upelelezi na wizi unaotekelezwa na serikali ya China ni tishio la muda mrefu kwa Marekani

Akizungumza katika Taasisi ya Hudson mjini Washington, Christopher Wray alielezea kampeni ya usumbufu iliyokithiri

Alisema kwamba China imeanza kuwalenga raia wa China wanaoishi ughaibuni, ikiwashurutisha kurudi nyumbani na kwamba ilikuwa inajaribu kuingilia utafiti wa corona wa Marekani

''China imeanza juhudi za kuhakikisha kuwa ndio taifa la pekee litakalokuwa na uwezo mkubwa zaidi duniani kwa hali na mali'', aliongezea.

Katika hotuba iliochukua karibia saa moja siku ya Jumanne, Mkurugenzi wa FBI alielezea jinsi China inavyoingilia masuala ya Marekani kupitia kampeni kubwa ya upelelezi wa uchumi wa Marekani, wizi wa data na fedha kwa lengo la kushawishi sera za Marekani.

''Tumefikia wakati ambapo FBI sasa imeanza kufungua kitengo cha kukabiliana na visa vya Ujasusi wa China kila baada ya saa 10'', bwana Wray alisema.

''Kati ya visa 5000 vya kukabiliana na ujasusi vinavyoendelea kote nchini , karibia nusu yake vinahusishwa na China''.

Mkurugenzi huyo wa shirika la ujasusi nchini Marekani alisema kwamba rais wa China Xi Jinping alianzisha mpango kwa jina 'Fox Hunt', unaowalenga raia wa China ughaibuni wanaoonekana kuwa tishio kwa serikali ya China.

''Tunazungumzia kuhusu wapinzani wa kisiasa, watoro na wakosoaji walio na lengo la kufichua ukiukaji wa haki za kibinadamu unaotekelezwa na China'', alisema

''Serikali ya China inataka kuwalazimisha kurudi nyumbani na mbinu zinazotumiwa na china kufanikisha mpango huo inashtua''.

Aliendelea: inaposhindwa kumpata mtu inayemtafuta, serikali ya China hutuma mjumbe kutembelea familia ya mtu huyo nchini Marekani. Ujumbe unaotolewa ni : Rudi China haraka ama jiue.
 
Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
8,826
2,000
Utafikiri serikali ya Marekani imekula ile dawa ya Kimasai ya kuharisha 🤣🤣

Yani wanateseka huku maji yakiwa yameshakua mengi

Akili zao siku hizi ni fyatu kabisa - kisaikilojia wanaonekana wamechanganyikiwa wazi wazi kutokana na kasi ya maendeleo ya Taifa la China katika nyanja za sayansi na teknilojia, viwanda, R&D, Kiuchumi, Kijeshi(Wachina hivi sasa wanamiliki Hypersonic missiles and glide vehicles pamoja na aircraft carrier killer missiles type DFH-31 silaha zote hizo za Kichina ni tishio kubwa kwa Taifa la USA na kibaya zaidi US hana kinga dhidi ya Hypersonic missiles za Kichina na Urusi!)
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
42,625

Watajamba mamaeee ... Imeshakula kwao
 
Ndombwindo

JF-Expert Member
Nov 23, 2013
373
1,000
'Tumefikia wakati ambapo FBI sasa imeanza kufungua kitengo cha kukabiliana na visa vya Ujasusi wa China kila baada ya saa 10'', bwana Wray alisema.
Ogopa sana simba akijishusha na kujifanya kondoo, tena kaa mbali kabisa.
 
Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
8,826
2,000
Watajamba mamaeee ... Imeshakula kwao

Na bado - US ita-struggle saana kurudisha status yake ya yesteryears ambayo imeanza kufifia exponentially kadri siku zinavyo kwenda - ukweli huo unawahuma sana Wamerikani, i.e it scares a living daylights out of US Administration pychic.

Wanacho sahau ni kwamba vitisho tisho na uburuzaji wa Marekani kwa Mataifa mengine Duniani ndiyo kilikuwa kichocheo cha Mataifa kama Urusi,China,Korea kasikazini na Iran kuanza kuunda silaha kali za kujihami na nyingine za kushambulia Amerika kaskazini zenye kasi ambayo America hawana kinga dhidi yake, mfano hypersonic missiles pamoja na 400MT thermonuclear ladden payload submarine drones, zenye uwezo wa kusababisha Tsunami in East and West Coast of USA Miji yenye wakazi wengi ikaharibiwa na wakazi wote wakazama kutokana na massive tidal waves created by submarine drones blasts,si hilo tu Warusi vile vile wana missiles zenye uwezo wa kushambulia bara la USA kwa kupitia South Pole na kuhibukia Mexico ambako mipaka yake na USA haina ulinzi wa kutosha dhidi ya makombola ya Russia, miaka yote USA ilikuwa na uhakika kwamba makombola ya Urusi yatapitia Alaska kwenda kuishambulia Amerika, hivyo USA iliwekeza sana Alaska na Ulaya kujirida dhidi ya ICBM za Urusi ili zisishambulie America proper,kumbe wenzao wana plan “B” delivery systems za kuilipua USA kupitia South Pole i.e waliwazidi kete US wakajikuta wamepoteza resourcrs zao kujenga missiles interceptors Alaska na Ulaya ambazo hazita wasaidia kitu mwisho wa siku.

Nimetoa mifano midogo hapa kuonyesha kwamba matatizo yanayo ikumba Marekani hivi sasa ameyaleteleza mwenyewe kutokana na vitisho vyake vya kijeshi vile vile ku slap punitive sanction ili kudidimiza mataifa ambayo anayachukulia ni tishio kwake halafu wasivyo na aibu wanalazimisha mataifa mengine ya toe her line or else - bulldosing kila mtu Duniani na kuzulia Mataifa ambayo hayapendi unatumia visingizio mbali mbali,mara ooh sijui FBI imegundua ubaya wa Wachina kesho wanakujia na story za kutunga tu kwamba CIA imebaini Putin snataka kumdafia Trump ashinde term ya Pili, mara ooh wana uhakika kiduku wa North Korea amefariki Dunia kwa kuwa picha za satellite zimedhilisha trein yake amepark shememu moja kwa zaidi ya siku 28 ukisikiza propaganda za Taifa la Marekani ni.burudani tosha.

Back to main point kwa nini USA inapata wakati mgumu hivi sasa kutoka kwa washindani wake wa kijeshi, kibiashara na uchumi - sababu kubwa hswapendi wenzao wawapiku kwenye nyaja tajwa hapo juu atakorofishana na kila Taifa katika harakati zake za ku-stay on TOP of the ladder anakorofishana mpaka na so called marafiki wake, mfano:Ujerumani na Ufaransa wakati mwingine na Japan would you believe it?Uchoyo na dharau ndio itawamaliza Wamerikani labda wabadirike for the better, the soonest the better.
 
Wamesha chelewa china na washirika wake wapo makalioni kwake " so hata akibadilika ita mgharimu tu "

Kama ambavyo huyo mkuu wa FBI china anataka kuwa super power kwa gharama zozote zile " Unadhani hii kauli ni ya uongo ? Hii kauli ni ukweli mchungu kwa USA wenyewe na washirika wake wote
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
5,226
2,000
Mkurugenzi wa shirika la FBI nchini Marekani amesema kwamba vitendo vya upelelezi na wizi unaotekelezwa na serikali ya China ni tishio la muda mrefu kwa Marekani

Akizungumza katika Taasisi ya Hudson mjini Washington, Christopher Wray alielezea kampeni ya usumbufu iliyokithiri

Alisema kwamba China imeanza kuwalenga raia wa China wanaoishi ughaibuni, ikiwashurutisha kurudi nyumbani na kwamba ilikuwa inajaribu kuingilia utafiti wa corona wa Marekani

''China imeanza juhudi za kuhakikisha kuwa ndio taifa la pekee litakalokuwa na uwezo mkubwa zaidi duniani kwa hali na mali'', aliongezea.

Katika hotuba iliochukua karibia saa moja siku ya Jumanne, Mkurugenzi wa FBI alielezea jinsi China inavyoingilia masuala ya Marekani kupitia kampeni kubwa ya upelelezi wa uchumi wa Marekani, wizi wa data na fedha kwa lengo la kushawishi sera za Marekani.

''Tumefikia wakati ambapo FBI sasa imeanza kufungua kitengo cha kukabiliana na visa vya Ujasusi wa China kila baada ya saa 10'', bwana Wray alisema.

''Kati ya visa 5000 vya kukabiliana na ujasusi vinavyoendelea kote nchini , karibia nusu yake vinahusishwa na China''.

Mkurugenzi huyo wa shirika la ujasusi nchini Marekani alisema kwamba rais wa China Xi Jinping alianzisha mpango kwa jina 'Fox Hunt', unaowalenga raia wa China ughaibuni wanaoonekana kuwa tishio kwa serikali ya China.

''Tunazungumzia kuhusu wapinzani wa kisiasa, watoro na wakosoaji walio na lengo la kufichua ukiukaji wa haki za kibinadamu unaotekelezwa na China'', alisema

''Serikali ya China inataka kuwalazimisha kurudi nyumbani na mbinu zinazotumiwa na china kufanikisha mpango huo inashtua''.

Aliendelea: inaposhindwa kumpata mtu inayemtafuta, serikali ya China hutuma mjumbe kutembelea familia ya mtu huyo nchini Marekani. Ujumbe unaotolewa ni : Rudi China haraka ama jiue.
When the hunter becomes the hunted. Hii ni kama movie ya deadly prey
 
Chenchele

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
1,753
2,000
Kipindi US inamtafuta Osama ili imuue, ilikutana nanshida moja;-
Kumuua Osama directly ingeleta uhasama na picture ya ubabe na uonezi mbele ya Arab countries na dunia kwa ujumla.

Basi wakatafuta strategy ambayo Osama atauliwa lakini bila kuleta mshituko kwamba panefanyika ubabe.

Ilibidi CIA wam-paint Osama kua ni gaidi na most wanted na serikali ya Marekani. CIA katika project hii, wakianza kutengeneza picha ya Osama na midevu kama mtu Fulani hivi katili, lengo ni kutengeneza picha mbaya ya Osama kwenye jamii. Moja ya sehemu ambako project ya vibonzo vya Osama viliuzwa ilikua China.

Walivoona nikama kilamtu Yuko aware sasa kwamba Osama gaidi, Osama anatisha, gaidi, gaidi basi wakaanza harakati kumtafuta mchana kweupe wakamkamata wakamuua. Hakuna hata single country, no Russia or China iliyo freak kwamba US kamonea mtu hapo.

Hii ni mbinu ambayo US/CAI wametumia kwingi Sana, mbinu ya kuku label kama we ni mbaya Sana, then anapull trigger anakumaliza.

Mfano: Saddam ana Bioweapon, mbinu ilikua successfully.

Gaddafi aliua na kutesa watu wake wengi Sana, successfully.

Qassem Suleiman anaua anatarget na kuua wamarekani katika ubarozi wa US, mbinu successfully.

Mifano iko mingi.

Kwahiyo US/CIA Wana kulabel Kwanza kukupa picha mbaya, ili akianza kukutrigger world isione kama unaonewa.

Kwa kitu ambacho US anamfanyia China sasahivi naona ni strategy ileile ya kum-label China na kumpa picha mbaya kama inch inayoiba data na kuspy nchi nyingine (hili halina ubiahi China anafanya hivyo).

Naona US akifanikiwa kwa mbinu hii maana mpaka sasa nchi kubwa kubwa zime pull out from 5G projects na ki ban tech mbalimbali toka China. Mfano India, na baadhi ya EU

Kwahiyo msizani labda US analialia la hapana, ana m-label China hapo kilamtu ajue kua China ametengeneza Virus, China anaiba data, na naona anafanikiwa.

Katika ku pull out funds kutoka WHO na kujitoa hapa napo anafanikiwa.
Alikua anatoa $450m kwenda WHO kila mwaka, hizi fund WHO inanunua madawa na kutoa msaada nchi mbalimbali. Sasa kaona anakua taken for granted, ana withdraw WHO membership ili atumie shirika lake USAID kutoa msaada instead ya WHO.

hapa anataka kuhakikisha US/USAID ndo inatoa msaada na sio US behind WHO ambako alikua anakua taken for granted. Hapa anafanikiwa maaana kipindi high peak ya covid19 amegawa millions of $ na equipment katika nchi mbalimbali zikiwemo South America na Africa.

(Naona UK naye alikua anakua taken for granted na EU, anataka independent)

Hapa kila nchi itamshukuru US moja kwa moja instead ya kumshukuru WHO ambako asingejulikana kama ni yeye.

Kwa hizi strategies watu wanaweza kuzani US analialia la, hapana, dunia inabadilika so naye Yuko adaptive.
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
49,435

Umeelezea kisayansi zaidi.

Watu wapo bize na makombora sijui ya wapi.

Nani aliwaambia dunia ya sasa watu wanapigana makombora tena??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom