kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 11,716
- 13,182
Hivi kuna mtu aliwahi kusema huo mchanga hauna dhahabu?Tuliambiwa na baadhi ya ‘’wataalam wa madini’’ nchini kuwa ule ni mchanga hauna thamani kama ambavyo serikali kupitia Rais Magufuli wanadai!
Ukweli umeanza kujitokeza kupitia kwa ''wenye mchanga''!
Ninazidi kuamini kuwa uongo hutumia lift kuwafikia walengwa lakini ukweli hutumia ngazi!
Inawezekana hata haya makadirio (estimate) ya Mkurugenzi wa Barrick niya chini kwa faida yake ya kibiashara!
Tuendelee kuusubiri ukweli!
''Uncle Magu'' ni king'ang'anizi kweli kweli!
Nimejikumbusha summary ya taarifa ya Kamati ya Prof Mruma iliyosema kuwa kwenye zile Kontena 277 kuna dhahabu ya USD 521.3mil, Copper ya Usd 10.6mil, Silver ya Usd 1.08mil, Iridium ya Usd 105mil, Iron ya 1.2mil, Ytterbium ya Usd 7.5mil, Beryllium ya 3.8mil, Tantalum ya Usd 1.3mil, Rhodium ya Usd 0.689mil, Lithium ya Usd 0.649mil, na Sulphur ya Usd 0.844mil. Jumla kuu ya thamani ya madini yote kwenye zile kontena 277 walipata Usd 652.663 million. Kimsingi kazi yao ilikuwa nzuri japokuwa haikuwa kwenye uhalisia sana. Hata hiyo inayotamkwa sasa ya Usd 280 ni makadirio tu, thamani halisi itajulikana baada ya kupembua makinikia hayo kwenye smelter au mnunuzi kufanya uchunguzi wake. Hivyo, si sahihi kwa sasa kuweka conclusion katika suala hilo.Hivi kuna mtu aliwahi kusema huo mchanga hauna dhahabu?
Ni mpumbavu gani angeuandaa na kuusafirisha mchanga usio na thamani ? Ukweli ni kuwa Serikali imekuja kukubaliana na madai ya Acacia kuwa average concentration of gold ndani ya mchanga ule ni 200 - 300 ppm (0.02 - 0. 03%) na Cu ni 1.5 - 2.5% kama ilovyooneshwa kwenye lab certificates za Acacia. Na siyo ule upuuzi uliotamkwa kuwa ni 90% gold. Kwa mwenye uelewa angejua wazi kuwa hakuna uwezekano hata wa kuwa 10% gold achilia mbali hiyo 90%.
Gold ni karibia ya 20 times of water gravity. Kitu ambacho kinafanya kama gold ingekuwa 90%, kusingekuwa hata na lorry la kubeba container kama hilo. Na wala hakuma container ambalo lingeweza kunyanyuliwa likiwa na uzito huo bila kupasuka.
Jambo jingine ni kuwa sarikali imekubaliana na madai ya Acacia kuwa kwa productions ya concentrates zilizopo Tanzania ni uneconomical kujenga plant ya recovery ya metals kutoka kwenye refractory ore.
Mkuu,Mkuu;
Soma vizuri na uelewe maoni yangu!
Ni wapi nimesema huo ni mchanga kama mchanga wa kawaida?
Nimesem, ''Tuliambiwa na baadhi ya ‘’wataalam wa madini’’ nchini kuwa ule ni mchanga hauna thamani kama ambavyo serikali kupitia Rais Magufuli wanadai!
Kamati ya Prof Mruma ilisema kuwa kwenye zile Kontena 277 kuna dhahabu ya USD 521.3mil, Copper ya Usd 10.6mil, Silver ya Usd 1.08mil, Iridium ya Usd 105mil, Iron ya 1.2mil, Ytterbium ya Usd 7.5mil, Beryllium ya 3.8mil, Tantalum ya Usd 1.3mil, Rhodium ya Usd 0.689mil, Lithium ya Usd 0.649mil, na Sulphur ya Usd 0.844mil.Mkuu,
Naomba tukumbushane tafadhali;
Wataalam wa acacia walisema una thamani gani, serikali ilizuia kwa sababu thamani iliyotajwa wakati huo ni ndogo.
Kuna tofauti gani kati ya thamani ya kabla ya kuzuiwa na ya sasa?
Upimwe wewe kwanza!Kama kuna mtu anambeza jpm akapimwe akili,huyu ni mjumbe wa Mungu hakika,
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati akiongea na shirika la habari ya Uingereza liitwalo Reuters, Mkurugenzi wa Kampuni ya Barrick Gold, Mark Bristow amesema Makontena ya Makinikia yaliyozuiwa na serikali ya Tanzania Bandarini Dar es Salaam yana thamani ya Dola za Kimarekani milioni 280 ambapo ni sawa na takribani shilingi za Kitanzania bilioni 647.
Mkurugenzi huyo amesema kwa sasa wako mbioni kutekeleza makubaliano ya mkataba waliokubaliana na serikali ikiwa ni pamoja na kuilipa serikali ‘’kishika uchumba’’ cha thamani ya dola milioni 300.
‘’Tunavyoongea kwa sasa tumeanza mchakato wa kuyasafirisha Makinikia na baadaye tutailipa serikali ya Tanzania dola milioni 100’’, Mkurugenzi Mark Bristow alisema.
Alimalizia kwa kusema, ‘’Kwa sasa tuko mbioni kuanza tena uzalishaji katika mgodi wa Bulyanhulu baada ya kuufunga kutokana na amri ya serikali kuzuia usafirishaji wa Makinikia’’.
Kwa mnaojua lugha ya Kiingereza mnaweza kusoma hapa:
Mkuu..kasikilize hotuba ya DINGI utaelewa ninachosema.
..yeye ndiye aliyekuja na UONGO kwamba watu walikuwa wanadai kuwa ule ni mchanga usiokuwa na thamani.
..kwa muda mrefu watu wamekuwa wakihoji kuhusu thamani halisi ya mchanga wenye dhahabu au makinikia.
..Na ndiyo maana kulikuwepo na hoja ya kujenga SMELTER hapa nchini. Na hoja hiyo ilikuwepo tangu awamu ya nne, na huenda kabla ya hapo.
..Tunachosisitiza ni serikali kuwa na TAARIFA ZA UHAKIKA na kuacha udanganyifu au kuwajaza wananchi matumaini ya uongo.
..Serikali ilitoa ahadi kubwa-kubwa mwanzoni mwa suala hili. akini sasa hivi wamesalimu amri kwa barrick, na wanazungumza lugha za kutupooza na wameachana kabisa na ahadi walizokuwa wakitoa.
Kumbuka pia kufanya kosa ni sehemu ya kujifunza!
Tumejifunza kama Taifa na kinachofanyika kwa sasa ni kurekebisha makosa!
MkuuHivi kuna mtu aliwahi kusema huo mchanga hauna dhahabu?
Ni mpumbavu gani angeuandaa na kuusafirisha mchanga usio na thamani ? Ukweli ni kuwa Serikali imekuja kukubaliana na madai ya Acacia kuwa average concentration of gold ndani ya mchanga ule ni 200 - 300 ppm (0.02 - 0. 03%) na Cu ni 1.5 - 2.5% kama ilovyooneshwa kwenye lab certificates za Acacia. Na siyo ule upuuzi uliotamkwa kuwa ni 90% gold. Kwa mwenye uelewa angejua wazi kuwa hakuna uwezekano hata wa kuwa 10% gold achilia mbali hiyo 90%.
Gold ni karibia ya 20 times of water gravity. Kitu ambacho kinafanya kama gold ingekuwa 90%, kusingekuwa hata na lorry la kubeba container kama hilo. Na wala hakuma container ambalo lingeweza kunyanyuliwa likiwa na uzito huo bila kupasuka.
Jambo jingine ni kuwa sarikali imekubaliana na madai ya Acacia kuwa kwa productions ya concentrates zilizopo Tanzania ni uneconomical kujenga plant ya recovery ya metals kutoka kwenye refractory ore.
Kuna baadhi ya watu wanapoteza muda wakipambana na ukweli!Wakala wa mabeberu wewe unahangaika ndo hvy tena matapeli Accacia wamebaki histotria na unachoongea hata haujui sijui umecopy na kupost,,
Anko Magu nakumbuka alisema makontena yale yana dhahabu kama malori 27 ya tani saba. Tukaambiwa kila mtanzania angekamata Noah yake....Tuliambiwa na baadhi ya ‘’wataalam wa madini’’ nchini kuwa ule ni mchanga hauna thamani kama ambavyo serikali kupitia Rais Magufuli wanadai!
Ukweli umeanza kujitokeza kupitia kwa ''wenye mchanga''!
Ninazidi kuamini kuwa uongo hutumia lift kuwafikia walengwa lakini ukweli hutumia ngazi!
Inawezekana hata haya makadirio (estimate) ya Mkurugenzi wa Barrick niya chini kwa faida yake ya kibiashara!
Ikumbukwe Kamati ya Prof Mruma ilisema kuwa kwenye zile Kontena 277 kuna dhahabu ya USD 521.3mil, Copper ya Usd 10.6mil, Silver ya Usd 1.08mil, Iridium ya Usd 105mil, Iron ya 1.2mil, Ytterbium ya Usd 7.5mil, Beryllium ya 3.8mil, Tantalum ya Usd 1.3mil, Rhodium ya Usd 0.689mil, Lithium ya Usd 0.649mil, na Sulphur ya Usd 0.844mil.
Jumla kuu ya thamani ya madini yote kwenye zile kontena 277 walipata Usd 652.663 million.
Tuendelee kuusubiri ukweli!
''Uncle Magu'' ni king'ang'anizi kweli kweli!
Swali zuri sana.Mkuu,
Naomba tukumbushane tafadhali;
Wataalam wa acacia walisema una thamani gani, serikali ilizuia kwa sababu thamani iliyotajwa wakati huo ni ndogo.
Kuna tofauti gani kati ya thamani ya kabla ya kuzuiwa na ya sasa?
Ungekuwa umenisaidia sana kama ungeniambia ni lipi lisilo sahihi.Mkuu
Fanya uchunguzi wa kitabibu, elim yako inaweza kukufanyA ukAwa -100%
KunAugonjwa unAitwa personselfish desses(kamA ntakuwa nimekosea nisamehe ilA hospitAl wanAupima)
Kachunguze huenda unatattzo hlo, mAanA dalili zake nmeziona kwenye andiko lako.... ikiwa si hvyo bAsi Account yako kunamtu alisign in akAkuandikiA...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukilinganisha na wapiMaisha magumu.. Ajira akuna. Hata hizo huduma za jamii zinazotokana kwa kodi zetu wenyewe bado tunazilipita gharama kubwa ili kuzipata. Sasa nishangilie hizo pesa kwa misingi gani...
Kamati ya Prof Mruma ilisema kuwa kwenye zile Kontena 277 kuna dhahabu ya USD 521.3mil, Copper ya Usd 10.6mil, Silver ya Usd 1.08mil, Iridium ya Usd 105mil, Iron ya 1.2mil, Ytterbium ya Usd 7.5mil, Beryllium ya 3.8mil, Tantalum ya Usd 1.3mil, Rhodium ya Usd 0.689mil, Lithium ya Usd 0.649mil, na Sulphur ya Usd 0.844mil.
Jumla kuu ya thamani ya madini yote kwenye zile kontena 277 walipata Usd 652.663 million.