Mkurugenzi wa Bagamoyo, karabati daraja la linalounganisha Kijiji cha Pongwe na kata ya Kimange

Magita

JF-Expert Member
Aug 23, 2013
319
144
Hivi karibuni miezi mitatu iliyopita kuna Kampuni ilimaliza kujenga barabara ya kutoka Kimange hadi kijiji cha Pongwe Kiona, Kata ya Kimange, Wilaya ya Bagamoyo. Barabara hii ina umbali wa 10km.

Wiki moja iliyopita ilinyesha mvua kubwa matokeo yake ikabomoa daraja/calavati moja, hadi hii leo hakuna mawasiliano yeyote kati ya Kimange na Pongwe Kiona lakini cha kushangaza lile caravati ukiliangalia kwa kina huoni nondo yeyote iliyowekwa, lile caravati lilijengwa kwa cement tu na ndio maana likazolewa na mvua.

Sasa tunakuomba uchukue hatua za haraka za ujenzi ili mawasiliano yarejee .

20170408_173755.jpg
 

Attachments

  • 20170408_173605.jpg
    20170408_173605.jpg
    458.2 KB · Views: 29
  • 20170408_173553.jpg
    20170408_173553.jpg
    309.1 KB · Views: 32
Back
Top Bottom