Mkurugenzi wa ATCL David Mattaka astaafu Rasmi, Amrushia Dr Slaa Kijembe

powaaaa tu,tumechoka na ujanja ujanja wa hii nchi,tunashindwa hata na ruanda wao wameanza kujitanuwa lakini sisi tunaleta siasa ktk mambo ya msingi, kila siku longo longo
angalia ethiopia wametupiga bao sana,sisi tunajifanya kuwekeza hata ikuru yaani na maanisha kuwekeza ktk uwanja wa ndege ni kama kuwekeza ikuru ni sehemu nyeti sana lakini hatulioni hilo
ukifika ktk kiwanya wanacho kiita cha kimataifa ni upupu mtupu
 
Kaua shirika na kulizika, then anatangaza kustaafu? Hovyo

Mkuu hapa sio uwanja wa kueneza uongo, Atcl ilishakufa siku nyingi kabla Mattaka hajateuliwa kuwa mkurugenzi mkuu, Atcl imeuliwa na wanasiasa wa ccm kwa maslahi yao binafsi, mataka ni fisadi hilo halina ubishi, lakini tukitaka kutenda haki tuangalie pande zote, lile jengo la ppf tower ni kazi ya Mattaka, na ukifika Arusha pale njiro ilipo Geneva of Africa zile nyumba zote pale ppf city ni kazi ya Mattaka, mwisho serikali ilishamcrlear kwamba yuko safi baada ya kukaa chini ya uchunguzi wa vyombo vya dola kwa miaka kadhaa.
mwisho vijana wa kiume wanaotaka kuendesha magari wakati uwezo hawana wacha waliwe mavi tu, no free lunch.
 
anajiuzulu leo.......... si alibaki na viti na machine mbovu tu?? if i was him ningeondoka siku ndege ya mwisho imeacha kupaa, it is way too late na atuambie mshahara alikua anapokea wa nini since then
 
Mkurugenzi mkuu wa shirika la ndege la Tanzania (ATCL) Bw David Mataka leo ametangaza kuwa amestaafu rasmi kwa mujibu wa sheria baada ya kufikisha umri wa miaka 60

Amewaambia wanahabari ofisini kwake kuwav amelazimika kutangaza hadharani jambo hilo kufuatia tetesi kuwa ameshinikizwa kujiuzulu na Dr Slaa pamoja na nguvu ya UMMA kutokana na ufisadi

david eleza ukweli ungewaonyesha mkataba unaisha lini..kisheria ulitakiwa ukabidhi tangu APRIL 01...LAKINIUMEKUWA UKITUMIA MALI ZA KAMPUNI KWA UPANDE WANGU BAADA YA KUMALIZANA NA PRESS NINGEKUWA NA DEFENDER INAKUSUBIRI HUKU BILL ZA MAFUTA YA GARI NA MATUMIZI MENGINE ZIKIKUFWATA NYUMA YAKO...PENGINE KUKUPONGEZA KWA KUMUUZIA MAMA MWAMUNYANGE ILE SEHEMU YA CARGO NA KUAMUA KUWEKA SALOON..HILI UMECHEZA MAANA HATA WAZIRI KICHWA KIMECHANGANYKIWA...PENGINE UKIWA KAMA BINADAMU TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI UKO UENDAKO NAJUA NAO WATAKUJA SIKU MOJA KULALAMIKA KAMA WALIVYOKUJA PPF NA ATCL HAPA JAMVINI
 
Mataka should go to Court to answer charges!! Kama serikali itamwacha Mataka aishi basi mwisho wa CCM si 2015 bali kipindi kifupi zaidi ya hicho
 
mataka should go to court to answer charges!! Kama serikali itamwacha mataka aishi basi mwisho wa ccm si 2015 bali kipindi kifupi zaidi ya hicho

rais kikwete aliemchagua anatakiwa atangulie kwanza...huyu akifungwa awa punguani wengine tunawachapa bakora tu huku uraiani

nafikiri muhimu aeleze ile mkataba wa airbus kwanza kabla ya kukmkubalia kujiuzulu..m najiuliza jamani huuyu mungu kweli anaupendeleo yaani wachafu kama hawa wanaribu watoto wetu ndio kwanza wanafikisha miaka 60
 
Mataka should go to Court to answer charges!! Kama serikali itamwacha Mataka aishi basi mwisho wa CCM si 2015 bali kipindi kifupi zaidi ya hicho

Huu ni ushabiki wa kitoto kabisa, apelekwe mahakamani kujibu tuhuma gani? Atcl haikufa chini ya uongozi wa Mattaka, sipendi Tanzania liwe Taifa la watu wazushi.
 
kwajinsi unavyotumia msuli kumtetea Mataka tunalazimika kuhisi kuwa wewe ni mmoja wa vijana wake. Hivi ATCL ikiwa chini ya Mataka ilipewa mabilioni ili kulifufua halafu badala ya kuenject kwenye operation wao wakalipana arrears na bonus wakati hawajazalisha chochote?

Back
Top Bottom