Mkurugenzi wa ATCL amekanusha taarifa ya kua Bombadier Q400 mbovu

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,817
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania ATCL, Eng. Matindi amekanusha taarifa ya ndege yake aina ya Bombadier Q400 kuwa mbovu

 
hawa vijana wa chadema ushamba unawasumbua, yaani wao ndege ya serikali ikipata tatizo kwao ni sherehe

FB_IMG_1480570933919.jpg



swissme
 
Bavicha na 4u movement watakuja kututhibitishia..bila shaka walipeleka mwakilishi
 
Sijui nilikuwa wapi lakini tangu habari ya ndege yetu kutoka nje ya njia yake kule Arusha, sijasoma mahali popote watu wamesema kuwa hiyo ndege ni mbovu na iliharibika, Sijui tena nasema sijui.
Natamani msemaji husika angekanusha kuwa haikutoka nje ya njia ndipo tumshangae. Hakuna aliyesema imeharibuka jamani. Msihofu ndege mliyo nunua ni nzuri ila, fanyeni mpango wa kuwezesha wazawa waipande hata kwa mwezi mmoja shuheni nauli zenyu watu waipande
 
Kutetea chakula ni Kazi sana...

Kuna siku kiongozi wa hii serikali ya awamu 5 atakuja kukanusha mke wake kuwa hana mimba wakati tumbo tunaliona.........

Swali ni je yeye alikuwa Arusha? Aliyetoa taarifa si ni abilia aliyekuwa kwenye tukio tena na picha juu...

Au na yeye anasafiri kila route na hizo ndege siku hizi?
 
Sasa kama ilishindwa kugeuza njia na kukwama iitwe mbovu au nzima
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania ATCL, Eng. Matindi amekanusha taarifa ya ndege yake aina ya Bombadier Q400 kuwa mbovu millard ayo on Twitter





....mpaka idondoke na kuua ndio watajua ilikuwa mbovu...tz ndivyo ilivyo...hadi chombo kilete majanga ndipo ukweli husemwa....kama ile meli ya mv victoria...mliambiwa videge mitumba hivi mkabisha....mbwembwe zitaisha pale itakapodondoka na watu...mi hizi ndege sipandi....na sitopanda..japo natumia sana ndege kikazi...
 
BAVICHA wanaombea ile Kwenye BBC World News Flight Bmbadier Q400 of Tanzanian Airline is missing with 76 On board


Mungu anawaona.
 
Kutetea chakula ni Kazi sana...

Kuna siku kiongozi wa hii serikali ya awamu 5 atakuja kukanusha mke wake kuwa hana mimba wakati tumbo tunaliona.........

Swali ni je yeye alikuwa Arusha? Aliyetoa taarifa si ni abilia aliyekuwa kwenye tukio tena na picha juu...

Au na yeye anasafiri kila route na hizo ndege siku hizi?
Abiria alisema ngege ilikuwa na ubovu gani? Gari lako likikwama kwenye tope maana yake ni bovu?
 
Kwenye vyombo vinavyobeba maisha ya watu havitaki matamko ya Kisiasa... oooh am warning you
 
Somebody knows what happened to that plane but they are keeping their mouths shut
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom