Mkurugenzi Uhamiaji; Muda gani inachukua kupata passport kwako?

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Baada ya kuingia mfumo wa electroniki

Mh mkurugenzi wa uhamiaji wakati muafaka sasa kuondoa matongotongo watanzania passport inapatikana baada ya muda gani ukikamilisha docs zote

Hakuna asiyejua kumekuwa na mambo ya ajabu sana hizo ofisi hapo nyuma unakamilisha docs zote ukienda baada ya wiki mbili njoo kesho keshokutwa...

Mhindi unaefuatana naye foleni yeye anakuja kuchukua passport baada ya wiki moja wewe unaonekana mkimbizi nyumban kwako. Inauma sana hili jambo sijui wamejipangaje. Na hili kuondoa madaraja ya upatikanaji passport

Hizi ni shida za kila siku uhamiaji tunaomba mtueleze ule urasmu wa njoo mwezi ujao nao utaisha ama ndio muda unaongezeka?

Nawatakia muendelezo mwema kielectoronikia
 
Kwanza kutaanza mizengwe ya safari ulete uthinitisho wa safari hata kwa wanaobadili ppt!!
 
Kwanza kutaanza mizengwe ya safari ulete uthinitisho wa safari hata kwa wanaobadili ppt!!
Na hiyo mizengwe watakupa makusudi ili utoe rushwa...uhamiaji kuna rushwa sana sijui mh rais kwann bado anapaacha acha.
Watu tupo foleni ya passport kubwa miezi mitatu sasa docs zote na malipo tayari...na hapo ni dom makao makuu ya nchi!
 
Watumie vitambulisho vya taifa kurahisisha kazi ya kupata passport, vitambulisho vya taifa vitolewe mapema iwezekanavyo, vitambulisho hivyo kwa sehemu kubwa ni nyaraka muhimu Sana, additional iwe documents chache tu
 
Uhamiaji ndo sehemu chafu zaidi ya sehemu zote hapa Tanzania; yaani rushwa adi kwenye kuchukua fomu tu....yaani MTU anaomba rushwa kwa ajili ya kazi anayolipwa mwisho Wa mwezi.
 
Back
Top Bottom