Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 9,764
- 8,769
Hahahahahaahahahaha,
Aitheeee kuna viichaa humu wanatabia ya kuchupia habari ya nyuma na kufanya watu wa comments kwa hasira wakati mshtakiwa aliishakufa kwao huko.
Hahahaha,na huyo mwanafunzo mwenyewe aliishamaliza chuo kikuu na ameishaolewa na watoto wawili sasa.
2008 - 2014?kazi kweli.
Najua kuna watu wamemtukana alieibua uzi huu kimoyomoyo,