Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,453
- 4,933
MKURUGENZI ndiye.chanzo cha yote atoe sababu za kwa nini hakutekeleza matakwa ya sheria kwa kutoa barua za mawakala kwa wakati? Ni kipi kilimsibu hadi ashindwe kiheshimu sheria za uchaguzi hali iliyo pelekea hofu dhidi yake?
POLISI huyu NI mtuhumiwa namba mbili lakin anaweza kushika nafasi ya kwanza wakati wowote ule maana hakukuwa na sababu za kitaalam kutumia silaha za moto.kwa.kundi lile na pia kwanini wamekuwa waongo kwa kutaka kuukwepesha ukweli? hawa NI washtakiwa pia.maana tukio lile lilionekana dhahiri kabisa mrusha lisasi alikuwa nani.
CHADEMA kosa Lao NI la kutengenezwa. maana kisheria na kikatiba hawana kosa lolote lile ila wakitengenezewa kosa wataonekana wanakosa la kufanya maandamano ambalo naona sio maandamano Bali ulikuwa NI msafara kuelekea NEC kupata usahihi kuhusu mkurugenzi kugoma.kutoa barua
jambo ambalo NI haki Yao kikatiba vinginevyo serikali na jeshi lilieleze taifa kulikuwa na uhitaji gani wa.kutumia silaha za moto kwa kupambana.na.watu walio kuwa kwenye msafara ule wakati wana mbinu zisizo na madhara kutuliza ghasia
ILA CHANZO KIKUU CHA KIFO CHA AQUILLINA. NI MKURUGENZI WA UCHAGUZI KINONDONI MAANA NDIYE MSHAWISHI WA YOTE YALIYO TOKEA.