Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 31,692
- 63,441
Kwani ukurugenzi hua unaombwa ni kazi ya kuteuliwa?Haya yote nimeyafafanua vizuri Sana Sasa sijui Ni hiyo kichwa yako ngumu kuelewa ama ni ujeuri wako tu sijui.
Nimesema wapi likizo sio haki ya mtumishi ? Hii nishaeleza huko juu.
Kuhusu kukaimu ,akaimiwe yeye akiwa wapi ? Kwa dharura gani ? Kuna ulazima huo yeye kwenda likizo kwasasa Wakati Kuna miradi inahitajika mwezi ujao na deadline inagonga hodi.
Kwenye makabrasha yenu ya kuombea kazi huwa mnaandika mna uwezo wa kufanya kazi under high pressure na ku meet deadline , Sasa leo mnakana makabrasha yenu ?
Unauliza akaimiwe akiwa wapi? Si akaimiwe akiwa likizo au unapendekeza akaimiwe akiwa wapi? Hawa wakurugenzi wakienda Dodoma kwenye vikao hua wanakaimiwa au hujui hili? Kama ni hivyo ugumu wa nafasi yake kukaimiwa akiwa likizo unatoka wapi?
Hoja yako ya uzalendo ni propaganda. Sabaya alifanya kazi mpaka usiku wa manani, akaitwa mzalendo ila leo yuko wapi?
Nimeandika vitu vyepesi ila huvioni unakimbilia kutukana matusi hayatakuokoa it's either upange hoja au ujifiche ila matusi siyo dawa.