Mshangai
JF-Expert Member
- Feb 16, 2008
- 468
- 1,086
Kipindi cha miezi miwili iliyopita kulikuwa na mvua zilizoharibu barabara nyingi za wilaya ya Ilemela.
Mvua zimeisha lakini sio Mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela wala mbunge wake Angelina Mabula aliyeonyesha kuguswa na uharibifu huo wao wako maofisini tuu wanakula viyoyozi.
Ziko barabara kama Pasiansi kwenda BOT Club huwezi amini kama iko mjini na sasa haipitiki kabisa.
Barabara ya Pasiansi kwenda Lumala kupitia sekondari ya Kiseke sasa haiwezi kupitika hata na Bajaj.
Tunajiuliza jee siku yakitokea maafa kama ya moto nyumba zote zaweza teketea maana magari ya zimamoto hayawezi hata kwa muujiza kufika Lumala.
Hivi sasa baada ya Mabula kuteuliwa kuwa Naibu waziri ndio basi tena huo umekuwa mzigo kwa Ilemela, nkurugenzi naye yuko usingizini.
Watu wa Ilemela sasa ndio tunaisoma namba kweli. Au mpaka Magufuli ashtukize huku?