Mkurugenzi Mtendaji Liwale Lindi Ashinda Kura Za Maoni CCM Singida Kaskazini

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale mkoani Lindi, Joseph Monko ameshinda kura ya maoni CCM katika jimbo la Singida Kaskazini.
Kwasababu anachukuliwa kama Mtumishi wa serikali na moja kati sheria za utumishi wa Umma, ukitaka kugombea udiwani, Ubunge au uraia lazima kuache kazi kwanza, ataachia nafasi kwanza.

Lakini hiyo ndio PICHA tunayoipata kwa wakurugenzi wote wa Halimashauri ambao kisheria ndio wasimamizi wakuu wa majimbo ya uchaguzi, 98% ni makada wa chama cha CCM ambacho kinakuwaga na wagombea wa nafasi hizo
 
Si mlishajitoa, muwaache wafanye mambo yao sasa...
Utaratibu wa kikatiba unasemaje kabla hatujamuacha? Kashajiuzulu nafasi yake ya ukurugenzi wa mji kama sheria za uchaguzi zinavyomdai?
Polepole na mkurugenzi wa uchaguzi mna la kutuambia kuhusu matumizi mabaya ya madaraka katika chaguzi zenu?
 
Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia
 
Ni kiini macho tu, hapa lazima tupate katiba mpya ndio muharobaini otherwise ni maigizo tu.
Katiba mpya haiwezi kuja kwa porojo mnazopiga hapa. Mnashagilia mfalme Mbowe kujitoa kwenye chaguzi mnadhani hao wabunge wa kuleta katiba mpya watatoka wapi? Nyie wafuasi wa [HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] ni ovyo kabisa.
 
Utaratibu wa kikatiba unasemaje kabla hatujamuacha? Kashajiuzulu nafasi yake ya ukurugenzi wa mji kama sheria za uchaguzi zinavyomdai?
Polepole na mkurugenzi wa uchaguzi mna la kutuambia kuhusu matumizi mabaya ya madaraka katika chaguzi zenu?
Fanyeni mambo yenu muwaache wafanye yao period!
 
Back
Top Bottom