Mkurugenzi mpya wa Vodacom Hashim Hendi hawezi kazi aondolewe

Voda ni wezi yani unaweza nunua vocha ya kukwangua ukaiweka mezani wakaiiba. au wanawez kutext "ndugu mteja iyo vocha muda wake imefika tafadhali tunaihitaji"
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aise me naona huyu MD mpya ni mbovu sana. Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaaada. Uozo starts from the top, mbona mwaka jana haikua hivi? Au ni mimi mwenyewe? Siku ya leo zimeenda 10GB ndani ya lisaaa sijui zimeishaje...nimeenda mpaka vodashop yani hamna msaada, yani siku nikikaa vizuri hii kesi naipeleka mahakamani nina hamu za million 60 za kumfungulia mamaa duka la nguo maana imekuwa kero sana...


Duh sasa MD wao ndio anakuibia?😳😳
 
Mkuu hama mtandao mimi nimeshaha muda tu,inakimbilia mwezi sasa maana nimeona kero.nipo airtel nakula maisha huku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom