Mkurugenzi mkuu wa bodi ya kahawa ameamua kupambana na bodi ya wakurugenzi wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkurugenzi mkuu wa bodi ya kahawa ameamua kupambana na bodi ya wakurugenzi wake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by matengo, Jun 20, 2012.

 1. m

  matengo Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa kwa namna moja au nyingine kaamua kumwanika Mwenyekiti wa Bodi hiyo kwenye gazeti la leo 20/6/2012 la Mwana Halisi uk wa 16 je sheria hapa inasemaje kwamba mwenyekiti ambaye ni mteuliwa wa Rais hana mamlaka ya kuitisha kikao cha dharura cha bodi? Je ni kweli waandishi wa habari walilipwa na je kuna ushahidi wowote ule?

  Je ni kwa nini Mkurugenzi mkuu wa bodi hiyo ana wasiwasi na Mwenyekiti kuitisha kikao cha bodi?

  If you read between the line utagundua mapambano yote haya dhidi ya bodi mpya yanaratibiwa kwa ukaribu na DG Adolf Kumburu ambaye tumeambiwa kule TCB na wafanyakazi anajulikana pia kama (a.k.a) Adolf Hitler. Sielewi ubavu huu wa kuhoji mamlaka na madaraka ya Rais kuhusu uteuzi huu anayapata wapi.

  Kumburu anajificha nyuma ya Mheshimiwa Zambi bila kujua kila kitu anachokifanya kinafuatiliwa kwa ukaribu, kuanzia mawasiliano yake na hata watu anaokutana nao.

  Siku zake zinahesabika.
   
Loading...