M
MegaPyne
Guest
Kwa habari zilizonifikia sasa hivyi zinasema Mkurugenzi wa Tanesco Bw. Idrissa amejizulu kama mkurugenzi mkuu wa tanesco.
Barua yake imetumwa leo jioni
Barua yake imetumwa leo jioni
Sikumbuki nani kabla yake alijiuzuru wadhifawowote, hata katibu tarafa, nikumbusheni jamani wakuu...Ni uamuzi wa kupongezwa, kwa sababu yoyote ile. Nadhani kuna kitu kizito kimemzonga. Leo Tanga Cement wamelalamika kuwa wamekatiwa umeme na Tanesco eti kwa kuwa wamechelewa kulipa sh 49 million! wakati huo wanalipa sh 450 hadi 500 million kwa mwezi. Ni hesabu gani hizi? Hata hivyo wamerudisha jioni hii, na ni wakati huo Dr katangaza kujiuzuru. Pia kuna issue ya EWURA kugoma kuruhusu Tanesco kuongeza bei ya umeme...
Kuna Makubwa kuliko haya tunayoyazungumza hapa,TANESCO ni Idara wazi ya CCM,inaendeshwa kisiasa mno,Mzee Idris kwa kipindi kifupi tu amekwaruzana sana na Wakuu Serikalini pamoja na kwenye CCM,Na wengi wao walikuwa wanataka awape Heshima kwa sababu ya kupewa kazi hiyo!,Binafsi alikuwa anataka kuonyesha kuwa kapewa kazi kutokana na Uwezo wake na sio Asante.Ngojeni akabidhi kazi(ofisi) ni wazi atakuwa willing kuzungumza na vyombo vya HABARI,na mengi yatajulikana hapo!!!