Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,615
Wataalamu wa kimombo kazi kwenu.
Upuuzi mtupu huu uzi. Mtu akiifahamu lugha sio lazima aonekane mtalam wa lugha hiyo. Yeye sio mwalumu wa kiingereza ila mtalam wa fani ya uongozi.Makosa ni kama kuandika Eastern Africa badala ya East Africa.
Baada ya neno "Furthermore" ilitakiwa ifuate koma yaani angeandika "Furthermore,..."Kosa hili dogo pia liko pale alipoandika Arusha Dodoma bila kutengani majina ya mikoa hii miwili kwa kuweka koma yaani "Arusha, Dodoma". Makosa ya kawaida haya hata sisi tunafanya.
Hapo alipoandika "like any" ingependeza zaidi kama angeandika "like any other...".Neno "other" limekosekana hapo.
Hapo "in this phase" nadhani mleta mada alitaka pasomeke "during this phase".
Vile vile hapa alipoandika "on planning..." nadhani mleta mada alitaka pasomeke "in planning..."
Kosa lingine ni kuandika " His excellent the President..." badala ya "His exellency the President..."
Kosa lingine ni kuandika "brand modern new sugar plant" badala ya "brand new modern sugar plant.."
Makosa mengine ni ya kawaida tu kwa mfano kuna mahali alitakiwa kumalizia sentensi yake kwa kuweka koma kabla ya kuanza sentensi nyingine inayosemoke "I feel indebted..." yaani iltakiwa iwe "....,I feel indebted".Hapa ile sentensi nzima iliyotangulia ilitakiwa kutenganishwa na koma na hii sentensi inayosomeka "I feel indebted.....".
Maana yangu ni kuwa, neno "country" lilitakiwa kufuatiwa na koma kabla ya kuanze neno "I".
Makosa mengine hata sisi tunayafanya hivyo ni kawaida tu na wala sio issue sana hii.
Lakini hata hiyo text na semantics in it do not carry the wait of a personality in it, ni uandishi wa kawaida mno kiasi kuwa when you go through it doesn't give you the appetite to continue reading, whether you like it or not language framing it is like cosmetic to beauty contest participants or decorations to bwana na bibi harusiWengi hamjamwelewa mleta mada, amejaribu kuwaonyesha sehemu ambazo CEO kaonyesha kusifia ufanisi wa mfuko katika kipindi hicho cha 11-15.
Nadhani nia ya Ritz ni kuquestion habari zinazovuma kuhusu wizi uliofanyika kwenye mradi wa Kigamboni.
Huwezi kuona issue kubwa sababu wewe pia kama yeye hukijui Kiingereza. Ni sawa na kuwa na gari yenye matatizo halafu fundi wako anakwambia iko sawa kama mpya, utakuwa mgonjwa ukikubaliana naye.Mbona kiingereza ukiondoa vitypo vidogo vidogo kiko poa tu, au tatizo nini?
Kahyarara kasoma OXFORD , kwa wenye kiingereza chao!
Kosoa mengine, lakini sijaona ishu kubwa ya kiingerez Hapo
ujumbe umeelewaka lakiniYeye anasoma kutokea KULIA kuja KUSHOTO lazima aone makosa matupu yaani maruweruwe.
Maruweruwe yanaeleweka ?ujumbe umeelewaka lakini
Huko ni sawa na kufumba macho usionekaneMaruweruwe yanaeleweka ?
Hata mkosoe vipi enzi za Dau zimeshapita hazitorudi tena.
Worse and unexplained!Imagine huyo ni academic professor and director general of nssf, what is the situation at lower levels?
kuchapia na kuto kujua nivitu viwili tofautihata hiki kiswahili tu watu huwa wanachapia sana itakuwa hiyo lugha ya malkia wajameni..
to be honest raisi wenu hana team nzuri,JK na mapungufu yake alikuwa na watu wengi smart wakumsaidia..!!ccm imejaa wafitini sana kama raisi wenu wasasa angetuliza akili alikuwa ameachiwa mwanzo mzuriKumbe Dau kaacha assets za kufa mtu NSSF, tazama thamani ya hizo assets na mwaka ziliohakikiwa.
to be honest raisi wenu hana team nzuri,JK na mapungufu yake alikuwa na watu wengi smart wakumsaidia..!!ccm imejaa wafitini sana kama raisi wenu wasasa angetuliza akili alikuwa ameachiwa mwanzo mzuri