Mkurugenzi Mkuu ATCL: Hatuwezi kuweka wazi idadi ya abiria waliokata ticket za Dreamliner kwa sababu za kibiashara

Aliyesema Shirika la CCM ni nani? Acheni kuweweseka. Awamu hii ni ya vitendo si blah blah!
Vitendo vya kufanya biashara ya faida ya -100%? Kweli vitendo dream liner kuzipeleka local? Tutaingia kwenye vitabu vya Guinness ki aviation
 
Vitendo vya kufanya biashara ya faida ya -100%? Kweli vitendo dream liner kuzipeleka local? Tutaingia kwenye vitabu vya Guinness ki aviation
Mkuu kwa hiyo issue ni domestic ama short distance? Unafahamu hata south africa kuna midege mikubwa inafanya domestic routes?
 
Mkuu kwa hiyo issue ni domestic ama short distance? Unafahamu hata south africa kuna midege mikubwa inafanya domestic routes?
Midege mikubwa kwa maana gani? Kwamba A 330 inafanya safari za ndani? Tusaidie ndugu toka wapi kwenda wapi?
 
Ndege kubwa kama Boeing Dream liner kufanya safari ya saa moja tu eti tayari inatua kibiashara ni hasara kwani itakuwa inatumia mafuta mengi.

Inatakiwa iwe angani kwa masaa 6-8 ili ku-optimize ulaji wa mafuta, labda kuna sababu zinazoizuia kusafiri mbali lkn hawako tayari kuziweka wazi.
 
Back
Top Bottom