Mkurugenzi Mitsubishi Group Companies Amkana mtoto

Miiku

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
3,835
2,630
Pesa
FB_IMG_1557919073427.jpeg

mood rekebisha hapo juu ni Mutsun
 
Tuzaeni tu kupunguza mayai na mbegu kabla havijasababisha uvimbe wa kizazi na tezi dume. Wahenga wanasema mzazi haui ila mtoto anaua.
Ila hatujapata story ya upande wa pili.
 
Pesa ndio kila kitu hapa duniani asikudanganye mtu, ona sasa pesa inavunja udugu wa baba&mtoto
 
Tuzaeni tu kupunguza mayai na mbegu kabla havijasababisha uvimbe wa kizazi na tezi dume. Wahenga wanasema mzazi haui ila mtoto anaua.
Ila hatujapata story ya upande wa pili.
umekuwa kimya kuhusu ile ishu au a=bado wajipanga mkuu
 
Back
Top Bottom