Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo akiwa ktk mkutano wa CCM. Nafikiri ni muhimu watu wakajua Taifa liko wapi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo akiwa katika mkutano wa ccm Nchini, nafikiri ni muhimu watu wakajua Taifa linaelekea wapi,ni hatari sana kwa Nchi watu kuamini kuwa hawawezi kushinda uchaguzi kwa njia ya demokrasia,unafikiri huyu anaweza kumtangaza Mpinzani ?

NB: Katiba ibara ya 74(14) Itakua ni marufuku kwa watu wanaohusika na uchaguzi kujiunga na chama chochote cha siasa

mkurugenzi Manispa ya Kinondoni.jpg
 
Back
Top Bottom