Achana na mambo ya awamu.Huyo ni mtu,tena mtu mzima mwenye familia, ndugu na marafiki.Hayo mengine tuyasome/tuyaone kwenye media tu.Tutaanza ushahidi wa uongo bure.Huyu ni DED wa 3 au 4 kufikishwa kizimbani awamu hii na wote waliiba hela awamu ya 5
Hapana siyo kweliUkiona mnapiga dili na hakuna Mchaga achana nalo, huwezi kupata Mchaga akafanya dili ambalo anajua backfire itakuwa shida
Wapi umewahi kuona mchaga kakamatwa kwenye wizi wa kizembeHapana siyo kweli
Wewe ni mpuuzi kwasababu hujui wizi na siasa. Kina Mramba zile zilikuwa siasa tu, kina Kamishna Kitilya ilikuwa siasa za chuki za Magufuli.W
We ni mwehu km wehu wengine, umesahau kina Mramba, na yule mchaga aliyekuwa kamishna wa TRA naye umemsahau, mchaga ht akijinyea atajisifu, sifa za kipumbavu