Mkurugenzi Ilemela Mbona Umelala?

Mshangai

JF-Expert Member
Feb 16, 2008
468
1,086
Napenda nimzindue huyu Mkurugenzi wa Hamashauri ya Ilemela Mwanza kutoka usingizini. Jee amewahi kupita barabara ya Pasiansi-Lumala- Kiseka? Hii barabara inayopita shule ya sekondari Kiseke?
Kwa kweli ni aibu kuiita barabara hata kama inatumiwa na maelfu ya wakazi wa maeneo hayo. Hivi huyu mkurugenzi hana utaratibu wa kuzungukia maeneo yake kuona nini kinaendelea?
Hiyo barabara inaharibu magari ya watu na ni kero kubwa kwa wakazi wa maeneo hayo. Tunajua Halmashauri haina Mwenyekiti wa maana zaidi ya huyo wa kuchonga lakini Mkurugenzi ndio mtendaji awajibike.
 
Back
Top Bottom