siyoi koroi
Senior Member
- Sep 6, 2016
- 177
- 214
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya meru Bwana Christopher Kazeri kwa masikitiko makubwa na kwa mshangao mkubwa amevunja kikao na kuwaamuru wataalam watoke nje ya ukumbi wa halmashauri.
Sababu kubwa ni kushindwa kujibu maswali ya wah madiwani kuhusu kuvurugwa kwa bajeti ya halmashauri na kuacha vipaumbele vya halmashauri na kuingiza vitu ambavyo siyo kipaumbele cha halmashauri kwa sasa.
Kwa mfano amefoji na kuingiza kwenye budget ununuzi wa gari la mkurugenzi, ujenzi wa nyumba za wafanyakazi, na ununuzi wa wa pikipiki za watendaji. Hivi siyo vipaumbele vya halmashauri kwa sasa. Sasa alivyobanwa na maswali kuhusu haya ndipo alipoamuwa kukimbia kikao na kuwaamuru watendaji watoke nje.