Mkurugenzi (DED) Masasi DC amvua cheo Mwalimu Mkuu kisa kushindwa kuchangia chochote kwenye ziara ya Mbunge

Wewe ulikuwepo eneo la tukio au umesimuliwa?
Kaka nilikuwepo si unajua bush ukisikia mbuge anakuja unakosaje nilienda kusikiliza mbunge anaongea nn ndo nikakutana na dhahma hiyo mkuu
 
Huyo DeD amesha dedi
IQ ndogo
Huwezo hamnazo
Yaaan ni tabu tu
Sijui hvyo vyeo wanavipata kwa kuloga na kukesha kwa waganga kama ni mpango wa Mungu sio hvyo
 
Walimu na polisi nchini mwetu ni kada zinazodharauliwa sana. Hayo kwa walimu kufanyiwa imeshakuwa kawaida na wao kwa woga wao wanajua ndo utaratibu. Wengine huzabwa makofi hadharani. Ni Mambo ya hovyo kwakweli. Na mbaya zaidi teuzi nyingi za Ma-DED siku hizi zimekuwa za kisiasa zaidi hazizingatii utaratibu wa ajra bali zinalenga chaguzi.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom