Mkurugenzi awakataa mawakala wa TLP na ACT wazalendo

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,278
6,671
-Ni mkurugenzi wa H/w Newala ambaye amehamishiwa hapa Wilayani karibuni kuchukua
nafasi ya Max Kamaone.

-Mkurugenzi huyu ni Mke wa aliyekuwa Mbunge wa Tandahimba Juma Njwayo ambaye
ni rafiki Mkubwa wa mgombea Ubunge wa Newala Mjini Ndg G. Mkuchika hivyo uchaguzi
unasimamiwa nsa Shemeji yake.

- Juma Njwayo ameteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Kilwa hivi karibun.

Taarifa zaidi nitawapatieni kwani leo tunarejea kwake tena ili kujua hatma yake kwani TLP na
ACT wazalendo zimesimamisha wagombea kwanini zikataliwe?
 
Ukiambiwa unakurupuka utasema onaonewa...sasa mbona hamkumuuliza sababu yeye mwenyewe alafu unakuja kutuletea taarifa nusu nusu..
 
Ukiambiwa unakurupuka utasema onaonewa...sasa mbona hamkumuuliza sababu yeye mwenyewe alafu unakuja kutuletea taarifa nusu nusu..
Mkuu Punguza UKADA kuna mengi sana ya ajabu yanaendelea hapa sitaki niwakatishe
tamaa watu, mimi ni mfanyakazi hapa H/W nitasema kila kitu safari hii.
 
Back
Top Bottom