Mkurugenzi atumbiliwa kimyakimya kwa madai si kada wa CCM

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,494
2,040
Mkurugenzi mpya wa wilaya ya Tarime mkoani Mara, Bi Hidaya Sanga ameenguliwa ktk safu ya wakurugenzi muda mfupi kabla ya kuapishwa kwa kudaiwa kuwa ni kada wa ACT-Wazalendo.
dedss-png.365909

image-jpeg.365896

Nadhani huko sasa siko!

Chanzo: Taanzania Daima
 
ni mkurugenzi mpya wa wilaya ya tarime mkoani mara bi hidaya sanga ameenguliwa ktk safu ya wakurugenzi mda mfupi kabla ya kuapishwa baada ya kudaiwa kua ni kada wa act wazalendo. nadhani huko sasa siko! source tanzania daima
Zito alishawahi sema kuhusu VETTING
 
ni mkurugenzi mpya wa wilaya ya tarime mkoani mara bi hidaya sanga ameenguliwa ktk safu ya wakurugenzi mda mfupi kabla ya kuapishwa baada ya kudaiwa kua ni kada wa act wazalendo. nadhani huko sasa siko! source tanzania daima

Acha majungu,watu wamekesha usiku kuyafanyia kazi hayo majina halafu unasema eti ni kada wa act?
 
Ni mkurugenzi mteule wa Tarime Mji Hidaya Adam Usanga, inadaiwa ni mwanachama wa ACT Wazalendo.
 
Acha uongo, wapi imeandikwa sababu ni hivyo?
Mbona kama alifoji labda cheti hausemi, unakaa kutunga tu?

Nchi nyingibzilizoendelea nazo zinafanya hivyo ya kukuchunguza na kukutema hata kama umekaa ofisini siku moja...unazidi kuchunguzwa na ndio maana ukipewa kazi sehemu nyingi unakuwa under prob... Haswa pengi kwa miezi sita...

Huyo kama alijua kafoji..(nachohisi mie au kuna la zaidi) kikubwa angewahi kujitoa mapemaaaa
 
ni mkurugenzi mpya wa wilaya ya tarime mkoani mara bi hidaya sanga ameenguliwa ktk safu ya wakurugenzi mda mfupi kabla ya kuapishwa baada ya kudaiwa kua ni kada wa act wazalendo. nadhani huko sasa siko! source tanzania daima

Tanzania daima ni gazeti la nani tena?
 
Acheni uzushi upembuzi yakinifu ulifanyika kwa zaidi ya miezi minne ,hilo haliwezekani !
 
Acha uongo, wapi imeandikwa sababu ni hivyo?
Mbona kama alifoji labda cheti hausemi, unakaa kutunga tu?

Nchi nyingibzilizoendelea nazo zinafanya hivyo ya kukuchunguza na kukutema hata kama umekaa ofisini siku moja...unazidi kuchunguzwa na ndio maana ukipewa kazi sehemu nyingi unakuwa under prob... Haswa pengi kwa miezi sita...

Huyo kama alijua kafoji..(nachohisi mie au kuna la zaidi) kikubwa angewahi kujitoa mapemaaaa
Ati nchi nyingi zilizoendelea! Kwani ya kwetu imeendeleaa?.
 
ni mkurugenzi mpya wa wilaya ya tarime mkoani mara bi hidaya sanga ameenguliwa ktk safu ya wakurugenzi mda mfupi kabla ya kuapishwa baada ya kudaiwa kua ni kada wa act wazalendo. nadhani huko sasa siko! source tanzania daima

Hivi Rais kutoa hotuba kwa kuelezea uhalisia ni kulalamika? Tatizo la nchi hii tumezoea Umbeya wanasiasa wanafanya siasa za umbeya, waandidhi wanaandika umbeya, watangazaji wanatangaza umbeya, watendaji wanatenda kazi kiumbeya umbeya, wazungumzaji mtaani wanazungumza umbeya, wahubiri makanisani na misikitini wanahubiri umbeya na kuacha kuhubiri neno la Mungu, wahadhiri vyuoni unafundisha umbeya, baba na mama wanalea watoto wao kiumbeya mbeya ndiyo ktk familia uongo unazidi,

wazazi wanasengenya jirani yao mbele ya watoto, watoto nao wanaenda kusengenya wao kwa kwao, makanisani na miskitini binti akipata mchumba anapigwa umbeya umbeya mpk mchumba anakata tamaa tatizo nchi imekuwa ya kiumbeyaumbeya hakuna vitu serious ktk nchi ndiyo maana ktk nchi hii ukiingia ktk social Media 80% utakachokutana nacho ni umbeya tupu, watu wameamua kutumia black propaganda kuendesha maisha, sasa mmempata kiongozi asiyeendana na umbeya mmeanza kumletea umbeya Mara analalamika, Mara dikteta Mara anawaminya kueneza umbeya kwa sasa tulishafanya umbeya sehemu ya maisha yetu.
 
Huyu nadhani alikuwa Mgombea Ubunge kupitia ACT,Kama kaondolewa sababu nikutokuwa kada wa Mwendokasi si vinginevyo.
 
Kama anasifa wamuache afanye kazi maana umasikini wa nchi hii umesababishwa na hao makada wa chama
 
Back
Top Bottom