Mkurugenzi ATCL: Dreamliner haijaharibika, tunafanya marekebisho ya kawaida. Ndege bado ipo kwenye majaribio...

hahaaa "" hii ndege si hata miezi 2, haina" ....hahaa hili taifa lipelekwe museum aisee
 
Hawakuwa Na schedule time kuwa siku Fulani ni ya matengenezo ili waibook,na kati ya dar Na mwanza wapi ni rahisi kufanyia service dar kuna makarakana na injinia wengi kuliko Mwanza
 
Sijawah ona nchi viongozi wake hutumia danganya toto kama hapa tz. Yan hata kama jambo laonekana wazi watakacho kusemea hutaamini mpaka wajiuliza hivi wanatuchukulia sisi watoto au
Yaani hii nchi" inamatapeli mnooo ", mbaya zaidi ni viongozi
 
Kama ni hivi kulikuwa na sababu gani ya kutokusema tarehe fulani dreamliner itafanyiwa maintenance hivyo hawata fanya safari ?

Tusifanyane wapumbavu hapa Jk alituambia za kuambiwa changanya na zako

Kwa hiyo bila Wi-Fi ndege hairuki ?

Hivi kati ya Dar na Mwanza ni wapi kuna Hangar ya kufanyia maintenance ya ndege hii ?
Ndege inafanyiwa maintainance popote,,sasa kama kulikuw kuna mainjinia Mwanza unataka mpaka iende Dar?... Wi Fi ni mfumo wa kawaida ni kama vile kurekebisha sauti kwenye TV au Simu yako!... haijaharibika chochote!
 
Huu utetezi wako wa kijinga ungekuwa na maana kama abiria wangetangaziwa siku au wiki kabla kwamba ndege itakuwA inafanyiwa configuration siku fulani. Lakini ghafla ndege ikiwa kwenye safari zake hilo linatokea huoni ni tatizo zaidi ya huu utetezi wako? Unapotetea tena kwa kuweka utetezi wa kipuuzi eti wapinzani wanakaa kuombea kushindwa ni utoto wa wazi. Kuna mpinzani kaenda kuharibu huo mfumo wa WI-FI kwenye ndege?
hahaaa",Ukiwa chama Tawala" lazima uwe zwazwa aisee"", Mpe huyoo
 
Nilichokion hapa wameogopa kusema tatizo halisi la ndege yetu mpya which in turn kama wangesema ingekuwa scandalous kwa ndege waliyodai mpya kupata hitilifu mapema kiasi hicho...

Hivyo basi wakaamua kutafuta katatizo cha ku-cover up (wi-fi) ili tusiendelee kuchokonoa zaidi...

Hivi kweli wi-fi ndio inasababisha kusitishwa kwa usafiri kwa abiria...??? Kweli sisi ndio wadanganyika
Aisee",huzuni wallahi
 
Hii nchi ina watu wa hovyo sana, hii ndege ingekua imenunuliwa na jirani zetu kina mungiki otyeno wa Tanzania wangesifia mpaka na kuongea wasivyo vijua. Haya matengenezo ya hiyo itirafu wangeyaita umakinifu wa mungiki lakini kwa kua ipo home kwetu basi dua zetu ni kwamba ife tu ili tusifie vya jirani.
Acha uwongo " tusingeisifia", Yaani ndege inunuliwe ndani ya miezi 2, tu then iharibike", halafu tusifie " na wakati tuliambiwa kwamba ni mpya"... watuona sisi wajinga", au ""?
 
Hakika hakuna watu waongo duniani kama watanzania. Ndege inawaacha abiria viwanjani kuwahi kwenda kurekebishwa WI-FI?
 
Kwa amri kutoka juu usemeje mkuu? Matengenezo ya kawaida yalisababisha abiria kukwama KIA
Imani yako inakudanganya..... jambo likitokea katika negative stuation mnaongea sana why not positive issues...sote tunawajibu wa kuijenga nchi yetu
 
Too much contradictions/baby stories
Wi-Fi maintenance inasababisha shirikia kushindwa kutoka huduma? ONLY IN TANZANIA.
 
Sasa hapa wapinzani ndio walioinunua hiyo ndege!? Time will tell na haya maigizo!!!
Kama ujanunua kelele ya nn....acha uzandiki acheni watu wafanye kazi....kama unapoint ya kujenga tutakusiliza na siyo kuleta habar za upinzan wasio na msaada wowote
 
Nyie watu wa ajabu kabisa, Barabara, rwli, shule, hospital,Vituo vya usafiri, usambaaaji mabomba ya maji, Ndege, Meli, vivuko, Umeme, tena kwa matumizi ya umma sio Maendeleo? Yasifanyike hadi kila mtanzania mmoja mmoja ana ghorofa na Range Rover? AU mnadhani hizi ni samani za maofisi ya serikali? Msiimbishwe nyimbo mkaitikia kama Kasuku.
ndugu, hayo (kwenye nyekundu hapo juu) ni majukumu ya serekali yoyote duniani. ni mambo ambayo serekali inapaswa kuyatekeleza kwa 100%.

sina uhakika kama wewe ni ME au KE lakini for argument's sake, niseme wewe ni ME na ni baba wa familia.
moja ya majukumu yako ni kuhakikisha familia yako inapata lishe. lakini kama siku utaleta nyumbani nyama iliyooza, familia lazima ilalamike kulikoni. huwezi kutoa kisingizio cha eti "mbona ugali ni mzuri tu na maji ya kunywa yapo... kuleni hivyohivyo"..... familia itakuona wewe baba ni mtu wa ajabu sana.

ndiyo maana haya maneno yako ninayaona ni ya ajabu mno!!
 
Back
Top Bottom