Tetesi: Mkurugenzi Aliyepora Ushindi wa Kafulila Kutumbuliwa na Magufuli

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Rais JPM May05 katika mkutano wake na wananchi mjini BABATI ambapo alipokea na kusikiliza Kero za wananchi aliwahakikishia kuwa Mkurugenzi huyo Reuben Mfune kwasasa Ana kesi huko Uvinza, amalize kesi huko na huku ukurugenzi ndio basi.

N:B Hii Ndio ile Toilet Paper tuisemayo tumika ukimaliza unaflashiwa
 
Mnnhh! Mwanahabarihuru labda inawezekana leo ukawa umeandikwa ukweli eennh? Ngoja nifanye uchunguzi. Nawasihi na wanabodi wengine wawe waangalifu sana na chochote uandikacho
 
Rais JPM jana May05 katika mkutano wake na wananchi mjini BABATI ambapo alipokea na kusikiliza Kero za wananchi aliwahakikishia kuwa Mkurugenzi huyo Reuben Mfune kwasasa Ana kesi huko Uvinza, amalize kesi huko na huku ukurugenzi ndio basi.
 
Mnnhh! Mwanahabarihuru labda inawezekana leo ukawa umeandikwa ukweli eennh? Ngoja nifanye uchunguzi. Nawasihi na wanabodi wengine wawe waangalifu sana na chochote uandikacho
Mbona unajiumauma kipi nilichokiandika ambacho siyo cha kweli? Taluma yangu haiyendani na wongo
 
Mnnhh! Mwanahabarihuru labda inawezekana leo ukawa umeandikwa ukweli eennh? Ngoja nifanye uchunguzi. Nawasihi na wanabodi wengine wawe waangalifu sana na chochote uandikacho
mimi namuamini sana Mwanahabari kama huna imani naye wewe ni jecha kambadilishe.buku 7 wewe

swissme
 
Rais JPM May05 katika mkutano wake na wananchi mjini BABATI ambapo alipokea na kusikiliza Kero za wananchi aliwahakikishia kuwa Mkurugenzi huyo Reuben Mfune kwasasa Ana kesi huko Uvinza, amalize kesi huko na huku ukurugenzi ndio basi.

N:B Hii Ndio ile Toilet Paper tuisemayo tumika ukimaliza unaflashiwa
Hapo kwenye NB: Hayo maneno yangekuwa sahihi kama haya yangetokea kwenye administration iliyomuweka...kumbuka huu ni utawala tofauti, unaojaribu kuwekeza nishati yake yote kwa watu wa chini na wanyonge...ukitaka kugombana na administration ya awamu ya 5, jaribu kuonea wanyonge na masikini.
 
mimi namuamini sana Mwanahabari kama huna imani naye wewe ni jecha kambadilishe.buku 7 wewe

swissme

Wewe sio mimi, hata akili ya kulifahamu hilo tu huna? Inawezekana kuna mambo mazuri aliyokufanyia na ukaridhika nae sana na pengine hata alikidhi hamu na shki zako vilivyo, sasa kwa nini usimuamini? Hongera sana
 
Hapo kwenye NB: Hayo maneno yangekuwa sahihi kama haya yangetokea kwenye administration iliyomuweka...kumbuka huu ni utawala tofauti, unaojaribu kuwekeza nishati yake yote kwa watu wa chini na wanyonge...ukitaka kugombana na administration ya awamu ya 5, jaribu kuonea wanyonge na masikini.
Tusidanganyane hivi utawala wakumfukuza mtu kazi bila kufuata maadili ya kazi ndio utawala huu wa hawamu ya Tano?
 
h
Wewe sio mimi, hata akili ya kulifahamu hilo tu huna? Inawezekana kuna mambo mazuri aliyokufanyia na ukaridhika nae sana na pengine hata alikidhi hamu na shki zako vilivyo, sasa kwa nini usimuamini? Hongera sana
huna Elimu ya juu.

Kama wewe ulivyo ridhika na Nchi jirani kwenye maswala yakuzungusha viuno
 
Back
Top Bottom