mbudunge
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,735
- 1,089
Katika Hali ya kustaajabisha mkurugenzi wa halmashauri ya Sumbawanga ameagiza wawape viti wanafunzi na ofisi yao ibaki bila viti ili kuondoa uhaba wa viti na Meza kwa wanafunzi, hii imepelekea walimu hao kusimama siku nzima bila kuwa na sehemu ya kufanyia kazi zao,....... Kweli ukistaajabu ya musa...