Mkurugenzi _chemba hela za uhamisho idara ya sec zinaliwa

rutabazi

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
474
500
Walimu wanazurumiwa kwa nguvu pesa zao za uhamisho. afisa elimu sec kuna watu wanakuharibia kazi..

Ukweli unajulikana kuna mtu hapo ofisini anakuyumbisha watu wanaandika TGTS E WENGINE G KWA MALIPO YA LAKI 4 WADAU - CHEMBA WANAKULA HELA ZA WANYONGE HABAR HIi IWAFIKIE ni aibu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom