Mkuranga: Tahadhari Simba Wawili Wameonekana Msitu Wa Vikindu

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Wameonekana alfajiri barabara ya kwenda Lindi/Mtwara eneo la mwandege pale kwenye pori baada ya kiwanda cha Juice cha Azam.

====

Taarifa kwa Umma Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga unapenda kuwataarifu kuwa kuna tukio la kuonekana kwa Simba wawili kwenye Misitu wa Vikindu.
Aidha jitihada zinaendelea kufanyika katika kuwadhibiti ili kuepusha madhara yanayoweza kutokea kutokana na uwepo wao

Viongozi wana wasihi kuwa makini mkatizapo katika Eneo hilo...

IMG-20210518-WA0000.jpg
 
Watakuwa wanakuja kucheki game ya KAIZER CHIEF MCHEZAJI VS WAO WENYEWE.
 
Hao ni Simba Mbarara maarufu kama Man eaters....wadengereko kule kwenye Madungu mashamba ya mpunga jua hii Munyama

Ekolojia ya Simba yenye kusisimua mkizubaa tu mtawakuta Mzizima senta
 
Back
Top Bottom