mkumbuke kukata bima kubwa mkienda safari za mikoani jamani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
SNB12588.JPG


Polen sana mliofikwa Mungu awatie nguvu
 
Mkubwa tu mkuu huyo jamaa mwenye koti la kijivu kama mkaguzi wa Polisi ndio ametoka humo ndani....Mwache Mungu aitwe Mungu mkuu
 
kwa juu naona taa za mbele zilishaanza kuchakachuliwa ....tairi ilipasuka mpwa akiwa na speed yetu ile ile..ngapi usifike huko..ila yupo hai si umeona alivysimama kidume kama anaiakagua gari kumbe anasikilizia Bima yake imexpire au bado
 
du mungu mkubwa jamani inaniikumbusha mbali jamani jinsi mungu alivyoniepushaga na mm
 
jamani mbona hizi ajali zinakatisha maisha ya watu namna hii?????.we need to to something.hii si kawaida wadau.
 
Back
Top Bottom