Mkumba: Wenye uchungu wa kuikomboa nchi waende wakazae!

WANASIKONGE MJIUZE KWA NINI HAMTOKI MLIPO???????

SABABU HIZI HAPA.
1.SAID MKUMBA NI DHAIFU,HANA FIKIRA YOYOTE YA KUWAKOMBOA KATIKA UMASKINI MLIONAO-KWANI HATA MAANA YA NENO UKOMBOZI KWAKE NI MZAHA...

2.MTU KAMA HUYU NI SAWA NA NYOKA ALIYEMDANGANYA EVE AKALATUNDA TUKAADHIBIWA KUFA.

3.NDANI YA UONGOZI WA SAID MSAHAU AHUENI YA SHIDA ZA MAJI,ELIMU,BARABARA,KILIMO,NISHATI N.K HIVI VYOTE MTAVISIKIA KWA AKINA RAGE,KAFUMU NA WENGINE.

4.MATUSI NDO CHAKULA CHA HUYU MBUNGE.

5.SABABU KUBWA YA CCM KUSHINDWA AR MASH NI KWA VILE HUYU JAMAA ALIPELEKA UCHAWI ALIYO NAO KULE....HAFAI NI MDHAMBI MKUBWA.

6.APPEARANCE YAKE YENYEWE NI DHAHIRI BUNGENI SIYO PAHALA PAKE....

7.MWENYEZI MUNGU MPE HUYU MBUNGE HEKIMA NA BUSARA ZA KUONGEA.amen
 
Huyu Mtu kinatutia sana aibu wana SIKONGE, Khaaaa!!!!! Anaitwa Saidi Nkumba.

Yaani huwa hadi naona aibu kujiita Sikonge mara huyu jamaa akifuka moshi.

M4C naomba mje SIKONGE mumchimbie kaburi la Kisiasa huyu mtu.

Hahahaa, eti wakazae. Adolf Hitler wetu bana, muone na tu-mustache twake.

695bab71-39a8-4274-9fcb-3c1074443dd0.jpg
Hitler-salute3.jpg
 
Dharau hizi tumezitaka wenyewe, ngoja tuvumilie tu.Watu wamegeuza bungeni kijiwe cha kahawa
 
Vita ni vita, watatubana bungeni tutakutana kwenye "vote box" Mnyika hakukosea kuwaita WADHAIFU na WAPUUZI.
 
Mohamedi haya siyo matusi kwa nionavyo. Wanachofanya CCM ni kujitabiria kifo huku wakishangilia. Ni kweli CHADEMA tuna 'mimba' na muda si mrefu tutazaa ukombozi wa taifa hili. Kuwa na mimba ya aina hii sioni kama ni tusi ila inaonesha hata wao CCM wanatambua wazi kuwa chadema tunayo na tunaionesha dhamira ya kweli ya kulikomboa taifa letu toka kwa wauwaji hawa CCM.

Mkuu mwanacbe nimeupenda sana mchango wako kwa jinsi ulivyo uweka katika hali ya uchanya! Na kweli ukombozi mpya utazaliwa punde.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom