Mkulo kataa kuilipa DOWANS

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,691
633
Ingawa sina hakika kama ndio ile wanavyosema 'sitaki nataka', waziri wa fedha Mustafa Mkulo amesema wizara yake haiko tayari kutoa hela kwa ajili ya malipo kwa Dowans, wakati ambapo Jaji Werema ameonekana kukubali nyuma ya mgongo aliposema 'kama mahakama ipepitisha, basi hilo ni swala la kisheria'. Kwa mtazamo wa Mkulo hilo deni ni la TANESCO, wizara yake haihusiki kwa lolote kwa hauikuhusishwa wakati wa kusaini mkata na wala hata kopi ya uamuzi wa mahakama bado hajaipta.

Mimi nasema bravo Mkulo! Lakini pia utwambie TANESCO wao watatoa wapi hiyo hela.

Nawasilisha........
 
Huyo mkulo angekua chadema hapo sawa isingelipwa ,alakini kwa sisiemu ni yale yale samaki mmoja akioza......!
 
Kigeugeu 2 hao,wana2zuga mwisho wa siku wanailipa,Pesa unatoa mfuko wako wa nyuma na unaweka wa mbele,sie ndo 2meumia
 
Kigeugeu 2 hao,wana2zuga mwisho wa siku wanailipa,Pesa unatoa mfuko wako wa nyuma na unaweka wa mbele,sie ndo 2meumia

Na mimi hapo ndio sikupata jibu kwamba TANESCO watatoa wapi hiyo hela. Kilichobaki ni......................!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom