Mkulo Ignorant on DECI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkulo Ignorant on DECI

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ogah, Apr 25, 2009.

 1. O

  Ogah JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
 2. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Mkullo kama waziri wetu wa Fedha ni fedheha tupu kwani hajui hata mambo ya msingi ya kuendesha wizara hiyo kwa mfano ; chombo kama Benki kuu kiko chini yake na katika utendaji wake ili kiwe na tija kina regulations zake ambazo tunatarajia waziri wa fedha atazifahamu na kuziheshimu lakini si hivyo kwa Mkullo!! Kipengele 3,1[v] cha MWONGOZO WA BENKI KUU kuhusu wajumbe wa bodi kwenye mabenki unazuia wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wajumbe wa Baraza la wakilishi Zanzibar na madiwani kuwa wajumbe wa bodi katika mabenki yote nchini Tanzania. Mkullo kwa kuvunja kanuni hii amewateua Kaboyonga mbunge wwa Tabora mjini, DR. Kigoda kuwa wajumbe wa benki ya Twiga Bankcorp pia Nyami mbunge toka Rukwa ni mjumbe wa bodi ya NBC. Ukilaza wa namna hii wa Mkullo inaonesha dhahili kuwa hata hilo tawi la DECI inawezekana alilifungua huko kilosa ingawa sasa anabisha!!
   
 3. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  mimi nadhani katika hili la DECI alijisahau kuwa ana dhamana ya kusimamia fiscal policies akajikuta azma ya uanasiasa imemtawala.Katika kutimiza uanasiasa wake basi akatetereka.Hapo sijui sasa tumlaumu au tumhurumie tu! Ndiyo mambo ya kuchanganya siasa na technical/professional performance.Mshika mawili.........
   
 4. h

  herikujua Member

  #4
  Apr 25, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mmh sidhani kama tunaweza kumhurumia kwa hili...kwa hayo yaliyosikika tu redioni kuwa ati kidogo aingie mkenge(clouds fm) anastahili kujiuzulu kabisa. Hivi waziri wa fedha hana hata kauwezo kadogo tu kakujua kuwa kuna pyramidal schemes na hakuna uzalishaji wowote unaotokea katika hili ambao mwisho wa siku ukiwekeza utapata faida? Haiingii akilini kabisa! na hana washauri ?
   
 5. O

  Ogah JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  WoS....naona unamuonea huruma sana huyu Kilaza wetu

  Imagine huyu eti ndiye mtu anayemshauri Rais kuhusu mambo ya UCHUMI.........yaani Mkulo is a JOKER....just watch mambo anayofanya
   
 6. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mkuu,
  I was just being modest ...
  I noted that he is responsible for fiscal policies..meaning he ought to have known that DECI and other pyramids schemes dont augur well with what he is supposed to do as Minister responsible.Lakini kwa vile hapohapo anataka kujipendekeza kwa wapiga kura ambao ni maskini wenye uhitaji wa pesa ( haraka na kwa njia za mkato) basi alikuwa blind....( he cannot be excused for sure!)
   
Loading...