Hii taarifa ya wizara ya Fedha inasikitisha, kwanza inaelekea hata hawaelewi hoja wao wako na POAC tu! Kwa kifupi wamekurupuka, maana ripoti ya POAC haijazungumzia uuzwaji wa hiki kiwanja hata seheMu moja, bali ni special audit ya CAG kwenye shirika la CHC, kwa maana hiyo wanasema CAG ni muongo?
Swali dogo tu la kujiuliza ni kwanini Mkulo alipoitwa na CAG kuhojiwa juu ya jambo hili wakati uchunguzi unaendelea alisema 'hana muda'? Halafu leo ndio kapata muda wa kujitetea? Too late baba
Mkuu Bongolala, usilale!, amka na kuwa Bongoamka kwa kutoleta ubaguzi wa rangi!....kwa nini wauze ardhi kwa muhindi?
Mkuu Bongolala, usilale!, amka na kuwa Bongoamka kwa kutoleta ubaguzi wa rangi!.
Kweli Dewji ni Mhindi lakini kazaliwa Singida!. Hoja isiwe kwanini kauziwa Mhindi, hoja ibaki kuwa jee sheria, taratibu na kanuni zilifuatwa?!.
Tukianza kuangalia rangi, tutakuta asilimia 90 ya wamiliki wa viwanja vyote prime areas ni Wahindi. Waliojenga hayo maghorofa yote ni Wahindi. Walikuja nchini kama makuli wa ujenzi wa reli ya kati. Fedha zao wakajengea wakati wamatumbi wao waliolea na kuporomosha yale mapara manne na mbavu za mbwa!.
Mpaka leo wenzetu ndio wanaoishi kule maghorofani huku wakimiliki asilimia 90 ya biashara za maana na faida wakijinunulia magari mazuri na kuponda raha huku sisi wamatumbi tukishinda bar na kubadili gesti huku tukiendelea kulalamika na kunung'unikia umasikini ambao tunauendekeza wenyewe!.
Waacheni wahindi wale maisha kwa raha zao, tusiwabague kwa uhindi wao bali tujifunze ujanja wao. Wenzetu wanaojifunza kwao wanatoka!. Mfano ni Uda inamilikiwa na Kisena mwenzetu!,
Kwani hapa ni Mkulo anaejitetea au Katibu Mkuu wa hazina ndio anamtetea Mkulo..?
Ndugu zangu nchi inatafunwa nchana kweupe na watu wakuja tu. huyu jamaa alikwepa kujibu hoja kwenye special audit kisha anakuja na blah blah walikuwa wapi siku zote tangu special audit ianze hadi kumalizika. Yaani kweli adui namba moja wa wabongo ni CCM - Chama Cha Majambazi tuliowapa ridhaa ya kutunza mali zetu. Jamaa wanadhani bado wanainji wa injii hii ni wale wa miaka ile ya zidumu fikra... Mmh kweli inasikitisha Prof Mzima kudanganya wadanganyika nchana kweupeHii taarifa ya wizara ya Fedha inasikitisha, kwanza inaelekea hata hawaelewi hoja wao wako na POAC tu! Kwa kifupi wamekurupuka, maana ripoti ya POAC haijazungumzia uuzwaji wa hiki kiwanja hata seheMu moja, bali ni special audit ya CAG kwenye shirika la CHC, kwa maana hiyo wanasema CAG ni muongo?
Swali dogo tu la kujiuliza ni kwanini Mkulo alipoitwa na CAG kuhojiwa juu ya jambo hili wakati uchunguzi unaendelea alisema 'hana muda'? Halafu leo ndio kapata muda wa kujitetea? Too late baba
Does it Help or change anything?wasting of time and peoples Money kukanusha ukweli kwanini hayo maelezo hawakutoa kwenye Kamati?Shame on you!Ur always Reactive and not Proactive!
Mkuu Bongolala, usilale!, amka na kuwa Bongoamka kwa kutoleta ubaguzi wa rangi!.
Kweli Dewji ni Mhindi lakini kazaliwa Singida!. Hoja isiwe kwanini kauziwa Mhindi, hoja ibaki kuwa jee sheria, taratibu na kanuni zilifuatwa?!.
Tukianza kuangalia rangi, tutakuta asilimia 90 ya wamiliki wa viwanja vyote prime areas ni Wahindi. Waliojenga hayo maghorofa yote ni Wahindi. Walikuja nchini kama makuli wa ujenzi wa reli ya kati. Fedha zao wakajengea wakati wamatumbi wao waliolea na kuporomosha yale mapara manne na mbavu za mbwa!.
Mpaka leo wenzetu ndio wanaoishi kule maghorofani huku wakimiliki asilimia 90 ya biashara za maana na faida wakijinunulia magari mazuri na kuponda raha huku sisi wamatumbi tukishinda bar na kubadili gesti huku tukiendelea kulalamika na kunung'unikia umasikini ambao tunauendekeza wenyewe!.
Waacheni wahindi wale maisha kwa raha zao, tusiwabague kwa uhindi wao bali tujifunze ujanja wao. Wenzetu wanaojifunza kwao wanatoka!. Mfano ni Uda inamilikiwa na Kisena mwenzetu!,
Haina haja ya kutoa ufafanuzi hukumu imeshasomwa na huu ufafanuzi akampe mkewe na mahawara zake.
Baraza limevunjwa so he must keep his mouth shut.
Jipange sawasawa kwani bado; utajitetea sanaaaaaaa.:high5: