Mkullo: Uchumi wa Tanzania umeporomoka; Kila mtu atakula kwa jasho lake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkullo: Uchumi wa Tanzania umeporomoka; Kila mtu atakula kwa jasho lake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by POMPO, Mar 18, 2011.

 1. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wakuu, waziri wa fedha na uchumi Mustafa Mkullo, amekiri kuwa uchumi wa Tz utaanza kuporomoka mwenz ujao... na kwamba kufikia mwishon mwa mwaka huu eti utaimarika, alikuwa akizungomza na watalaam kutoka IMF...Ambao wamesema kama tatizo la umeme likiendelea uchumi utadorora na utaporomoka zaidi: Channel ten Habari
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Sasa ye na gavana wanasubiri nini si wajitoe pamoja naserikali yao?
   
 3. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Dah,unaporomoka kuanzia mwezi ujao na utaanza kukua mwishoni mwa mwaka. Kweli tz kuna wataalam wa uchumi. Kama hayo ni kweli nachelea kusema uchumi wetu ni kama DECI.
   
 4. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #4
  Mar 18, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Utaanza kuporomoka mwezi ujao, kwani sasa hivi unapanda au uko stable?
   
 5. czar

  czar JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh hii kali yaani mwezi ujao utadondoka na mwisho wa mwaka utakua, sasa huu uchumi umekuwa kama mvua za masika. Cha ajabu watz tukiambiwa tunakubali tu, hakuna kuwajibika hata kidogo. Watu wa nje wanatuona hamnazo kabisaaaa.
   
 6. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Halafu utasikia baadaye bungeni kwamba uchumi wetu ni imara, unapaa! Sijui hawa jamaa wanatuona kwamba wananchi ni mazezeta!
   
 7. p

  plawala JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkullo ni kati ya mawaziri ambao wapo wapo tu,he is too soft to hold the position
  ni mwepesi sana kulinganisha na nafasi aliyopewa,tatizo kama hilihilo la bwana mkubwa,
  Mpaka tumalize miaka iliyobaki tutakuwa tumesota sana,nafasi kama hizo zinatakiwa zishikiliwe na wenye uwezo wa aina zote, siyo idadi vyeti vya kitaaluma tu
   
 8. k

  kansiana Member

  #8
  Mar 19, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  -----------------------------------------------

  Nilishapata habari kwamba Mkulo sio mtanzania hivyo ni miongoni mwa watu ambao hawashughuliki na kuwa na uchungu wa nchi hii. Otherwise Wizara ya fedha imevamiwa na watusi.
   
 9. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Sio mkulo tu bali wajumbe wote wa baraza la mawaziri hawana mwelekeo wa kiutendaji ni wanasiasa wanaojali maslahi yao binafsi na aliewateua.
   
 10. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Serikali ya JK haitaki wachapa kazi, siunaona ile kasi zaidi, ari zaidi na nguvu zaidi ya Magufuli imewatisha? Pinda anataka mazezeta kama Mkuro kwenye team yake. Shame on him.
   
 11. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kuporomoka kwa uchumi wa Tanzania sio habari mpya,it is expected.Na kwa hali ilivyo hakuna possibility ya uchumi wa Tanzania kuimarika.Ni muujiza tu unaoweza kufanya hilo litokee,kwa kuwa hakuna nia ya kweli ya kuimarisha uchumi wetu.Kila kitu kinacho fanyika, sijui ni kwa kutokujua au makusudi,kina-aim towards destroying our economy.Anayo zungumza Mkullo ni upuuzi mtupu.Kwanza what do you expect from the IMF,angekuwa na ufahamu wa kutosha he wouldn't even be talking to them.Hawa ndio leaders in destroying economies of world countries.They are hipocrytes.
   
 12. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hivyo viashiria (indicators) wanavyotumia ni vipi? Nahisi havina uhalisia kwa ujumla wake, na kama tutaendelea kuwatumia wataalamu hawa kunusuru uchumi wetu basi ni dhahiri kuwa tunatwanga maji kwenye kinu. Uchumi upo hoi siku nyingi.
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Utaporomoka au umeshaporomoka?
   
 14. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulishaporomoka muda mrefu. Hamna jipya hapa,

  HIZI TAKWIMU ZA BOT ZA KUCHAKACHUA NA KUONESHA INFLATIONARY RATES ZISIZOENDANA NA HALI HALISI ZINAANZA KUWAUMBUA TARATIBU.

  BILA AIBU WANAANZA KUZUNGUMZIA MAMBO YA MWISHO WA MWAKA.
   
 15. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,029
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  kama hali hii tuliyonayo bado uchumi haujaanza kudodoro naamini pasi shaka kuanzia huo mwezi ujao haya yatajiri: ndoa zitasambaratika,natabiri usaliti mkubwa,familia kutelekezwa,foleni za magari dar zitapungua kwani ya waheshimiwa ndo yatabaki..ya walala hae yatapaki,CDM watakuwa wamebakiza phase1 kuachive their ultimate goal
   
 16. G

  GAGL Senior Member

  #16
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Leo gazeti la Nipashe lina kichwa cha habari kinachoonesha matamshi ya waziri wa fedha akisema 'kila mtanzania atakula kwa jasho lake mwenyewe' mwendelezo wa kauli hii unasema kuwa 'atakaebisha hodi atafunguliwa'. Mkulo ameyasema hayo huku akidai kunukuu maandiko matakatifu. Mimi najiuliza maswali haya: kama alijua hvyo kwa nini alitaka kuwa kiongozi? Anafahamu vyema wajibu na nafasi ya serikali katika kuleta maendeleo? Hajui kauli yake inachochea ufisadi na rushwa? Na je ameamua kuthibitisha kuwa ilani ya maisha bora kwa kila mtanzania ni ndoto chini ya utawala wa ccm? Inatia hasira sana kuwa na viongozi wasiojua hata kauli za kuongea halafu wanajiita maprofesa. Hawa si maprofesa bali wamekuja kuprocess umaskini.
   
 17. R

  Rutakyamilwa JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 1,869
  Likes Received: 1,161
  Trophy Points: 280
  Nimekerwa sana na matamshi ya Mheshimiwa Mkulo kuwa kila mtu atakula jasho lake. Matamshi yale yale ya Mheshimiwa Malecela kuwa kila mtu atabeba mzigo wake na Mramba kuwa tule majani ndege ya mlozi mwenzake inunuliwe.
  NINA UHAKIKA WAO WANAKULA KWA JASHO LA WENGINE, HAWALI MAJANI NA WALA HAWABEBI MIZIGO YAO, VINGINEVYO WASINGELIKUWA NA MAHEKELU AMBAYO UKIWAPA FOMU WAJIELEZE WATASHINDWA KUTHIBITISHA FEDHA WALIZIPATAJE. WANAKULA KWA JASHO LA WANYONGE NA KODI ZAO

  MUNGU IBARIKI TANZANIA
   
 18. k

  kamsamba Member

  #18
  Mar 19, 2011
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bongo hakuna proffesor wa uchumi wa mchumi,uzushi mtupu
   
 19. Kingo

  Kingo JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2011
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Ndo tabu ya "mwenye shibe...." Sasa hii inakuwa kama staili ya Mkapa ya Mtaji wa maskini... na tuliona athari azake (ujambazi,...) Tatizo la ukosefu wa weledi wa kuunganisha sera na maisha halisi ya wananchi ndo inapelekea kutoa maamuzi yasiyo na tija wala mwelekeo kwa taifa na kwa wananchi kwa ujumla. Sasa kama kila mtu anabeba mzigo/msalaba wake mwenyewe, wizara na idara zake zinafanya kazi gani? Hamna kazi maana tiyari imetua/imeshindwa majukumu yake, basi ifutwe tu, tujihangaikie tujuavyo.
   
 20. K

  Kikambala Senior Member

  #20
  Mar 19, 2011
  Joined: Jun 28, 2008
  Messages: 163
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mawaziri na kauli zao
  1.malechela go to hell
  2.msuya kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe
  3.mramba ikibidi mtakula majani ndege ya rais must be
  4.mkulo kila mtu atakula kwa jasho lake
  5.jk ukitaka kula shurti uliwe japo kidogo
  Tafakari chukua hatua
   
Loading...