*Mkulima wa Matunda soma hapa*

jrutta

Member
Apr 7, 2012
45
12
Kama we mkulima wa matunda aina yeyote njoo PM Tuzungumze kampuni inachukua matunda mbali mbali na kuyapack kwa ajili ya Export.Napenda tufanye mazungumzo na mkulima direct Sio Dalali maana tumegundua madalali hukwamisha baadhi ya biashara.
Mkulima njoo PM au 0785995599.
KARIBUNI!
 
Limao unanunua shilingi ngapi kwa kilo.
 
Back
Top Bottom