mkulima2010
Member
- Jul 8, 2015
- 39
- 40
- Thread starter
- #41
Mkuu kwa kilimo chetu cha Tanzania nakushauri ufanye utafiti kwanza hata kabla hujamua kulima or kununuwa trector nenda physical hilo eneo unalotaka kulima kaangalia changamoto zake zipojee kwani kilimo kina changamoto nyingi unaweza nunua trector na bado usipate chochote utakumbana na matatizi utapelekwa kwenye ardhi isio na rutuba.mimi pia naamini ipo siku nitakuwa mkulima. Tatizo kubwa la nchi yetu tumekuwa nchi ya watumiaji na si wazalishaji, ndiyo maana hata farm machinery zinakuwa so damn expensive. Kila kitu tunategemea toka nje ya nchi hata kama kitu kidogo.