MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
video
INNOVATION IS NOT POLITICS BUT ACTIONS AND PROOF
kweliYule wetu alotengeneza feni sijui kama alimaliza wiki 7,
Sayansi ina misingi yake sio blah blah za siasa...
sio dharau, jamaa yetu kathubutu hakuna anayebisha na ni ujinga kuona kuwa hajafanya chochote. Ila pia sio sawa kutudanganya kuwa atazunguka na hiyo kitu mikoa kadhaa huku akijua kbs haiwezekani. Hilo nalo lazima tulisemee. Tukiendekeza ushabiki kwenye mambo haya tunaweza kugeuka kama wairaq walionunua mtambo wa kuchezea cricket kwa kudanganywa eti ni mtambo unaogundua mabomu matokeo yake ni watu kufa ovyo na kuingia gharama ya matrillion.Acha dharau na wewe umewahi kujaribu kitu gani ktk maisha