Mkuchika: Upinzani umepoteza umaarufu!

huyu mkuchika anaongea kiupambe tu shauri ya njaa.hata hao aliowashawishi wakahamia ccm hawana loloe\te njaa tu kama Hiza tambwe,wanadai ccm ina sera nzuri mbona hatuzioni zaidi ya wizi mtupu,wameshindwa wanachotaka sasa ni kuleta vita.washindwe na walegeeeee
 
Mkuchika ni CCM damu nyie mlitegemea ataongea nini? Awapongeze wapinzani ili mwakani wamteme thubutu.
 
mkuchika had statistics on his side.....atleast hakutoa tu maneno from thin air.
hao wanaomsikiliza wata judge maneno yake kwa mujibu wa statistics alizotoa ambazo zinaonyesha vyama vya upinzani vinakosa umaarufu.

hadi pale kwenye uchaguzi ujao vyama vya upinzani vitakapopata viti vingi zaidi, ni wazi kuwa ccm inathaminiwa zaidi ya upinzani.

Gaijin, ni kweli unachosema! upinzani umepoteza umaarufu, ila statistics zake zimeishia 2005!
 
Gaijin, ni kweli unachosema! upinzani umepoteza umaarufu, ila statistics zake zimeishia 2005!

True -- hana statistics za 2010! Kuna watu wengine wako behind times kweli kweli -- hasa watu wa CCM!!!!!! Au huwa hawataki kukubali ukweli?
 
hilo linaweza kueleweka vema akilizungumza mbele ya watoto wake wakati wa kula chakula kwenye dining room nyumbani kwake.

kwingineko tanzania kauli za kijinga kama hizo zinaongeza umaarufu wa Chadema.
 
Gaijin, ni kweli unachosema! upinzani umepoteza umaarufu, ila statistics zake zimeishia 2005!

Ndio mkuu kwa wakati ule alikuwa na tarakimu za kupress his point hasa ukiangalia alikuwa kwenye kampeni.

Sasa hivi hatakuwa na uwezo wa kurudia maneno hayo kwa kutumia tarakimu (Though kwa watu wa ccm walivyokuwa hawajali anaweza kurudia maneno hayo hayo sasa bali akaondosha tarakimu tu)
 
True -- hana statistics za 2010! Kuna watu wengine wako behind times kweli kweli -- hasa watu wa CCM!!!!!! Au huwa hawataki kukubali ukweli?

Habari hii ni ya 2009 kwa hiyo hakuwa na statistics za 2010.
 
Back
Top Bottom