sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,565
- 11,479
Anachemka.Mtu kama anaboronga na we ni mamlaka utamuacha tu. Hujui kama akiharibu yeye atakayejibu ni wewe?Ma-DC na Ma-RC wanaweka watu ndani kwa mujibu wa sheria na sheria hiyo waziri Mkuchika anaijua , iweje atoe agizo la kuzuia wasitende kazi kwa mujibu wa sheria? Acha upotoshaji na sema ukweli uliosemwa na Mkuchika