Mkuchika apiga marufuku viongozi wa Serikali kuwatengua watu ambao hawakuwateua

Watu wenye akili nzuri waliitunga hiyo sheria wakiwa na lengo na nia njema ila wanao itumia leo wengi ni vilaza hawajaandaliwa kiuongozi wengine wanatoka majalalani na mara nyingi wanaitumia kwa nia ovu hasa kukomoa
 
Huwa sibishani
Watu wengine wapo kazini, kuvuruga hoja. Point yako kubwa imeeleweka, hawa wateule wa rais hasa hasa ma DC na RC, hawaheshimu kauli za mawaziri. Hili la kufungia watu ndani linapaswa kuwa exception, lakini siku hizi wanafanya kama fashion. Lakini onyo la waziri wala halikusikilizwa. Swali na hili litakuwaje?
kauli ya mkuchika ni hii na aliitoa kauli hii 19/02/2019 bungeni
“Mkuu wa mkoa amepewa saa 48 za kumuweka mtu ndani lakini nachotaka kusema sio lazima wewe umuweke ndani, tuache kujifanya mwamba na naomba msiniharibie mambo mimi ndio Waziri wa Utawala bora”. narudia tena uache upotoshaji, hakuna anayetaka kubishana na wewe.
 
Ma-DC na Ma-RC wanaweka watu ndani kwa mujibu wa sheria na sheria hiyo waziri Mkuchika anaijua , iweje atoe agizo la kuzuia wasitende kazi kwa mujibu wa sheria? Acha upotoshaji na sema ukweli uliosemwa na Mkuchika
Samahani bosi niweke sawa kidogo hili..Sheria na hata katiba huwapa uwezo huo..Ila hawajawahi kuwaweka ndani watu kwa mujibu wa matakwa ya hiyo Sheria. Chunguza tu utagundua..mahakama haina taarifa ya kuwekwa mtu ndani Wala makosa hayaendani na matakwa. Mfano kwa usalama wa muhusika ndio anatakiwa kuzuiliwa ndani kwa amri ya DC au RC wajati mahakama imetaarifiwa hilo. Lakini huwekwa ndani kwa mahitaji ya kisiasa na udhalilishaji. Anyway haya Mambo magumu Sana katika siasa.
 
ni bora wewe umesema hivi kuwa kuna baadhi ya waliopewa mamlaka na hiyo sheria wanaitumia kinyume cha sheria hiyo na hili sikatai kwa sababu ni maranyingi tumeona sheria hiyo ikilalamikiwa. sheria yenyewe inasema DC au RC atakuweka ndani masaa 48 baada ya kuona viashiria vya uvunjifu Wa amani kutoka kwako, viashiria hivyo ni vipi? sheria ingetamka wazi kabisa makosa ya wazi yatakayompa mamlaka DC au RC kutimiza wajibu wake ila kwa sasa sheria hiyo ipo-general sana kiasi kwamba ni vigumu kujua kama wamekosea au laaah!

pia, kama unaonekana haina umuhimu kwa sasa tuombe ifutwe. hii itasaidia kupunguza malalamiko kwa watendaji hao au kama sio kufutwa irekebishwe na makosa yaanishwe wazi.
 
kauli ya mkuchika ni hii na aliitoa kauli hii 19/02/2019 bungeni
“Mkuu wa mkoa amepewa saa 48 za kumuweka mtu ndani lakini nachotaka kusema sio lazima wewe umuweke ndani, tuache kujifanya mwamba na naomba msiniharibie mambo mimi ndio Waziri wa Utawala bora”. narudia tena uache upotoshaji, hakuna anayetaka kubishana na wewe.

Sijui umevuta bangi? Sasa umechukua mstari huo mmoja tu, bytheway upotoshaji nilioufanya Mimi uko wapi?? Sikuelewi
 
Watu wengine wapo kazini, kuvuruga hoja. Point yako kubwa imeeleweka, hawa wateule wa rais hasa hasa ma DC na RC, hawaheshimu kauli za mawaziri. Hili la kufungia watu ndani linapaswa kuwa exception, lakini siku hizi wanafanya kama fashion. Lakini onyo la waziri wala halikusikilizwa. Swali na hili litakuwaje?
Mjinga yule achana nae
 
Mbona kama vile umepaniki? Si utafute uweke humu? Malumbano ya nini? Mkuchika alisema na alinukuu sharia, kuwa MTU anawekwa ndani tu pale inapothibitika kuwa akiachwa uraiani ataleta madhara au tuseme atahatarisha usalama, sasa wewe nambie, yule Dogo wa Arusha ambaye alikiri kuwaweka ndani maofisa wake hasa Walimu na watendaji pasi kuwasikiliza walisababisha uvunjifu gani wa amani? Usijibu kwa kukurupuka na usitetee ujinga

Acha hilo, jee RC/DC anapomuweka ndani mtumishi kwa kuchelewa kufika kwenye kikao chake inaletaje uvunjifu wa amani?
Bado najiuliza hivi hakuna sheria ya kuweza kumburuza mahakamani yeyote binafsi (kwa jina lake) iwapo inadhihirika kakuweka ndani kinyume na hiyo sheria? Ili waanze kushughulikiwa?
 
Sijui umevuta bangi? Sasa umechukua mstari huo mmoja tu, bytheway upotoshaji nilioufanya Mimi uko wapi?? Sikuelewi
upotoshaji wako upo pale ulivyotaka kuaminisha watu kwamba waziri Mkuchika aliwakataza ma-DC na ma-RC kuweka watu ndani kumbe alichofanya ni kutoa wazo mbadala au pendekezo na nimekupa nukuu ya alichosema unakimbilia kuonesha akili zako za BAVICHA zilivyo
 
Unajua hata Watu wanakushangaa...usijifanye mjuaji wakati hujui! Tufanye umeshinda
 
sishangai BAVICHA wapinga kila kitu wakinishangaa ila ukweli nimekufikishia kama ulivyo bila kumung'unya hata herufi katika neno na narudia tena upotoshaji ni fitina, hila na uzandiki sio mzuri
 
Huo upotoshaji uko wapi?? Why wewe peke yako ndio uone?? BAVICHA inakujaje hapa??
 
Ma-DC na Ma-RC wanaweka watu ndani kwa mujibu wa sheria na sheria hiyo waziri Mkuchika anaijua , iweje atoe agizo la kuzuia wasitende kazi kwa mujibu wa sheria? Acha upotoshaji na sema ukweli uliosemwa na Mkuchika

Ukimweka mtumishi ndani lazima umfungulie mashtaka ,kinyume cha hapo ni kujimwambafay tu.
 
Propaganda tu hizi.Kila anaona yanatokea na hajawahi KUCHUKUA hatua.

Then atoe mbadala kama mtumishi hajapitishiwa barua yake afanye nini??
 
tatizo la humu ndani kuna watu wanajifanya wajuzi wa mambo kumbe ni weupe vichwani.....
nadhani maagizo haya yasingekua na maigizo kuna watu wangeshachukuliwa hatua bt haya maigizo ni wenye upeo tu ndo huyabaini
 
Unajua hata Watu wanakushangaa...usijifanye mjuaji wakati hujui! Tufanye umeshinda
wenzako wenye akili timamu wameelewa nilichosema ila kwa kuwa wewe ni pingapinga acha nikuache nikae kimya. Lengo kuwa la ku-quote comment yako ilikuwa ni kutaka kukuambia uache upotoshaji, waziri mkuchika hakuagiza wala kusema wakuu Wa mikoa na wilaya wasiweke watu ndani na nikaweka nukuu ya kukazia alichosema. kwa akili zako za ki-BAVICHA unasema alisema hayo tu?

Pia, nikakuambia alichotoa Mhe.Mkuchika sio agizo ni pendekezo au wazo mbadala na sio agizo kwa sababu waziri anafahamu fika kuwa kuna sheria inayowaruhusu ma-RC na ma-DC kuweka watu ndani na ulipodai amewaagiza wakuu Wa mikoa kutoweka watu ndani umefanya upotoshaji Wa makusudi.

kuna mwenzako nimemwambia ,sheria ya kuwekwa mtu ndani ipo lakini ni too general na haijaweka wazi makosa gani ya uvunjifu Wa amani yatamuhukumu MTU kukaa ndani Massa 48 hivyo kukaa na kuwalaumu wakuu Wa mikoa ni kukosa busara.

Mhe.Rais pia aliwahi kulisemea jambo hili na alisema kwa Yale makosa madogomadogo si lazima MTU kukaa ndani. sasa hapo unaona jinsi sheria hiyo inavyompa RC na DC mamlaka makubwa sana ya kukuweka ndani bila kujalisha ukubwa ama udogo Wa kosa na licha ya kwamba Rais alisema bado alikuwa ni agizo bali ni kukazia alichosema waziri wako kwamba wakuu Wa wilaya na mikoa wawe na busara katika kuweka watu ndani
 
Acha ujinga wewe, usijifanye mjuaji, sikujibu tena! Endelea na ujinga wako maana hata sielewi unachobisha ni kitu gani
 
Back
Top Bottom