Mkubwa Fella awajibu wanaodai anawadhulumu Yamoto Band

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,803
2,000
Huu jamaa amewakasirikia kweli kweli watu wanaodai anawadhulumu Yamoto Band, amesema kuna watoto kibao mtaani kwenu na kama unaona anafaidi sana kusana na wewe kundi lako uwafanye mastaa kisha usiwanonye au uwanonye
Amesema pia anapokea simu nyingi kutoka mikoani wazai wakimtaka awachukue watoto wao lakini anashangaa wengine kumuandama anadhulumu
 

makilo

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
1,840
2,000
Kawajibu Wale watoto wawili kati ya mach*ko kibao wapale cloudss wale wanaume wanaojisifia kuwa wao ni wambea kushinda dada zao nadhani...
 

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,780
2,000
Word mkubwa fella maana watu hupendi kujaji vilivyo shatengenezwa wakati kuna kibao ambavyo havijatengenezwa na wala hawajishughulishi kuvitengeneza.
 

Amalinze

JF-Expert Member
May 6, 2012
6,719
2,000
Tusimkatishe tamaa mkubwa fela,amewekeza kwenye muziki pia inabidi na wenyewe umlipe, wale yamoto kukosa fela wasingeweza hata kufanya chochote,fela amewajengea nyumba pia amewapangishia nyumba amelipa milioni 12 kwa mwaka mzima.

Ukitaka kumuelewa fela kuna wimbo wake aliutoa unaitwa 2008 eheee 2009,amezungumza sana haya madai:-
1.Umekuja na ndala unaondoka na gari.
2.Ulikuwa unalala sebureni sasa umeondoka na nyumba.
3.Ulikuwa unaombaomba hela ukichungulia bank na mfuko imetuna.
4.Ulikuwa unashindia kahawa hivi sasa Milo yote unaipata.
Sasa hapa nani anadhulumiwa? Fela nachomlaumu ni kwenye uhusiano wake na OSATA tu na figisu figisu zao.
 

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,629
2,000
Hii Biashara ni ngumu sana anayo ifanya Mkubwa Fella,

Kama upo nje ndiyo utaona jamaa anafaidi lakini ukipewa uiendeshe yamoto band lazma ule kona!

Kama unaona jamaa anafaidi na wewe anzisha band yako na ukasajili jina pale brela mbona simple
 

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
10,325
2,000
Watanganyika ndio walivyo, tangu enzi za TANU mpaka CCM kuna watu wanawaibia mali zao lakini ndio kwanza wanapepea na magauni ya kijani kama wamekosa akili. Lakini kazi kujitia kimbelembele mambo yasiyowahusu. [HASHTAG]#SMDH[/HASHTAG]
 

innocentmollel

JF-Expert Member
Sep 11, 2014
1,703
1,500
Kazaa muheshimiwa diwan maneno kitu simple .ww mkongwe umesemwa toka kipindi unamiliki kundi kubwa TMK ukukata tamaa leo hii unaogopa nn Fanya yako mkubwa felaa umesaidia madogo ambao km c ww leo wangekuwa kitaa hawana mbishe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom