Mkosoaji wa Serikali ya Urusi Navalny ahukumiwa kifungo cha miaka 9 jela

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,495
9,275
1648021896828.png
Mahakama moja ya Urusi imemhukumu mkosoaji wa serikali ya Urusi Alexei Navalny kifungo cha miaka tisa jela, baada ya kumkuta na hatia ya ufujaji fedha na kutoheshimu mahakama.

Mwandishi wa shirika la habari la AFP amesema hayo. Uamuzi huo ulitolewa na jaji Margarita Kotova katika kesi hiyo iliyoendeshwa ndani ya gereza nje ya Moscow.

Haikubainika moja kwa moja ikiwa miaka hiyo tisa itaenda sambamba na hukumu anayotumikia sasa ya miaka miwili na nusu.

Katika tukio jingine, mahakama ya juu ya Urusi imekataa rufaa ya kundi maarufu la kutetea haki za binadamu nchini humo kutaka kufungwa kwa makumbusho yake kucheleweshwe, ili kusubiri uamuzi wa mahakama ya haki za binadamu ya Ulaya.

Kwenye ukurasa wake wa Telegram, kundi hilo limeandika kuwa mahakama imesema sababu za kuchelewesha kufungwa kwa makumbusho hayo sharti ziwe za kipekee.
 
Huyo hapo pembeni sijui ni mkewe, naona anafurahia, woman cant believe
 
Midogo.....

Wangempiga kifungo cha maisha.....

#Siempre JMT🙏
 
Msaliti havumiliki wangempiga risasi
 
Back
Top Bottom