Mkopo wangu umetumwa chuo kingine na mimi nimejisajili chuo kingine

Baraba

Member
Jan 2, 2015
62
27
Nimefanikiwa kupata mkopo lakini nimepata boom tu shida inakuja kuwa mkopo umetumwa mwalimu nyerere memorie lakin mm nili confirm Mocu na nimeshafanya registration naomba msaada wenu kitu cha kufanya
 
Aiseee shida sana....

Nifahamishwe namimi tafadhar kuna dogo Ali confirm udom Lakin mkopo umeenda SMMUCO hivi afanyeje
NB:bado hajaenda kuripot kokote Paka sahivi maana alkuwa anasubiri mkopo
 
Nenda chuoni onana na afisa mikopo atawashughulikia na kurudisha mikopo
Hii process imetesa sana wanafunzi usijaribu. Fuata mkopo uliko ndiko ukasome. Nenda saizi kabla njaa ya vyuo kusajiri wanafunzi haijaisha. Ukifanikiwa kujisajiri nenda kule ambako ulicomfirm jifute au postpon
 
daah na mimi imenitokea see niliconfirm udsm Ila mkopo umeenda DIT ambako sikuwa nimechaguliwa
nachotaka kufanya nikwenda DIT kuangalia kama naweza kujisajili palepale
 
Nimefanikiwa kupata mkopo lakini nimepata boom tu shida inakuja kuwa mkopo umetumwa mwalimu nyerere memorie lakin mm nili confirm Mocu na nimeshafanya registration naomba msaada wenu kitu cha kufanya
kuna procedure hua zinafwata kwa watu wenye situation kama yako ondoa shaka mkopo wako upo ugumu unaojitokeza ni wahusika wasipokua makin unaezaa kujikuta ikakuchukua mda sema ww sio wa kwanza
 
Asante sana kwa ushauri
 
Nimefanikiwa kupata mkopo lakini nimepata boom tu shida inakuja kuwa mkopo umetumwa mwalimu nyerere memorie lakin mm nili confirm Mocu na nimeshafanya registration naomba msaada wenu kitu cha kufanya
Hamia mkopo ulipo. Masomo ni yaleyale tu mkuu...
 
Hili basi ni janga inalobidi litolewe tamko kutoka Wizarani.

Sio haki mtu uende kusoma ambapo hukutaka au kupata kisa pesa zimeenda huko.

Inaharibu mengi kwa students kiakili etc

Nawashauri kuwasiluane moja kwa moja na bodi kuwaeleza kilichotokea ili pesa zitumwe mliko. Ni makosa ya bodi au hivyo vyuo kupeleka majina kudanganya au ni wavivu wa kuchambua wanajifanyia tu kazi bila kufikiria mihangaiko mtakayopata nyie wanafunzi.

Msikubali kusoma ambapo hamkutaka or haukupangiwa kisa pesa NI KOSA LAO WAREKEBISHE WAO.
 
Asante sana kwa ushauri wako
Tatizo ucheleweshaji tu mkuu. Mpaka hela ije irudishwe huku uliposajili utakuwa umeshasumbuka sana. Pole sana...... wote tumepitia njia hizo mkuu.
Mimi Masters yangu nimesoma nje ya nchi kule jamaa wako smart sana. Hawakosei. Huku kwetu watu hawako makini.
 
Itabid tufuatilie maana maisha ya chuo yalivyo magumu bila boom tutateseka weng
 
Hili basi ni janga inalobidi litolewe tamko kutoka Wizarani.

Sio haki mtu uende kusoma ambapo hukutaka au kupata kisa pesa zimeenda huko.

Inaharibu mengi kwa students kiakili etc

Nawashauri kuwasiluane moja kwa moja na bodi kuwaeleza kilichotokea ili pesa zitumwe mliko. Ni makosa ya bodi au hivyo vyuo kupeleka majina kudanganya au ni wavivu wa kuchambua wanajifanyia tu kazi bila kufikiria mihangaiko mtakayopata nyie wanafunzi.

Msikubali kusoma ambapo hamkutaka or haukupangiwa kisa pesa NI KOSA LAO WAREKEBISHE WAO.
Maana unakuta mtu kachanguliwa zaidi ya chuo kimoja na amethibitisha ataenda kimoja wapo lakini mwisho wa siku mkopo unaenda kule ambapo ukuthibitisha. Itabidi kuwe na njia za kuzuia mambo kama haya yasitokee
 
Ni kweli na hilo mojawapo linaweza likawa
linaangukia labda vyuo ndio vinapeleka majina mapema kabla ya student kuwajibu kama amekubali au la..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom