Mkopo waliomaliza diploma kwenda degree

H

Heaven Ambassador

Senior Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
171
Likes
36
Points
45
H

Heaven Ambassador

Senior Member
Joined Oct 27, 2017
171 36 45
Wakuu napenda kuuliza hivi kuna aliemaliza diploma ambae amechaguliwa degree vyuo vya ufundi(Must, dit,ATC,Wdmi) na kapata mkopo.
Asante.
 
H

Heaven Ambassador

Senior Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
171
Likes
36
Points
45
H

Heaven Ambassador

Senior Member
Joined Oct 27, 2017
171 36 45
Diploma nililipiwa na wizara kila kitu...Utakumbukwa sana Eng. Muhongo
 
H

Heaven Ambassador

Senior Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
171
Likes
36
Points
45
H

Heaven Ambassador

Senior Member
Joined Oct 27, 2017
171 36 45
Diploma niliona wengi wamesoma kwa shida kwa kujitegemea na degree????? Tena Engineering Civil, mechanics, electrical n.k kuwa uyaone chuo nafungua kesho ndo sina ata mia labda niuze piki piki ya urithi nipate nauli.
 
jiwe angavu

jiwe angavu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Messages
1,445
Likes
1,838
Points
280
jiwe angavu

jiwe angavu

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2015
1,445 1,838 280
Kusema ukweli..bodi hawatendi haki..si bora wasiwe wanachukua hela zetu za application tujue moja..
 
nutnux

nutnux

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Messages
303
Likes
281
Points
80
Age
24
nutnux

nutnux

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2016
303 281 80
mim chuo nilichosoma sis wadiploma tuliopata nafasi ya kuendelea na degree na tuliomba na mikopo pia.. hamna hata mmoja kati yetu aliyepata.. ladda tusubirii 3rd round wanaweza wakatuhurumia
 
Geologist

Geologist

Member
Joined
Mar 28, 2015
Messages
57
Likes
38
Points
25
Geologist

Geologist

Member
Joined Mar 28, 2015
57 38 25
Diploma niliona wengi wamesoma kwa shida kwa kujitegemea na degree????? Tena Engineering Civil, mechanics, electrical n.k kuwa uyaone chuo nafungua kesho ndo sina ata mia labda niuze piki piki ya urithi nipate nauli.

Pole sana mkuu,Nahisi batch ya 3 itakuwa kwa ajili yenu wa Diploma
 
H

Heaven Ambassador

Senior Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
171
Likes
36
Points
45
H

Heaven Ambassador

Senior Member
Joined Oct 27, 2017
171 36 45
Pole sana mkuu,Nahisi batch ya 3 itakuwa kwa ajili yenu wa Diploma
Nuru ya mshumaa tumaini limepotea, sinahakika maana akili zenyewe zimeyumba kesho orientation inaanza ndo kwanza naangaliana na wazee....inabidi niwape tumaini ili wapunguze presha ila nafsi ishaumia...mliopata mkopo kila laheri Yote mema.
 
H

Heaven Ambassador

Senior Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
171
Likes
36
Points
45
H

Heaven Ambassador

Senior Member
Joined Oct 27, 2017
171 36 45
D
mim chuo nilichosoma sis wadiploma tuliopata nafasi ya kuendelea na degree na tuliomba na mikopo pia.. hamna hata mmoja kati yetu aliyepata.. ladda tusubirii 3rd round wanaweza wakatuhurumia
Du!!!!!!
 
LIMBOMAMBOMA

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
2,709
Likes
2,420
Points
280
LIMBOMAMBOMA

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2017
2,709 2,420 280
hii ndo serikali ya wanyonge...
 
City owl

City owl

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Messages
1,488
Likes
1,948
Points
280
City owl

City owl

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2014
1,488 1,948 280
Nuru ya mshumaa tumaini limepotea, sinahakika maana akili zenyewe zimeyumba kesho orientation inaanza ndo kwanza naangaliana na wazee....inabidi niwape tumaini ili wapunguze presha ila nafsi ishaumia...mliopata mkopo kila laheri Yote mema.
Pole sana, I can feel your pain
 
Forum statistics

Threads 1,237,655
Members 475,675
Posts 29,296,067