Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,140
- 13,215
Wadau wa kispoti mnaokumbuka hili sakata mnasemaje?
Etoile walimtoa kwa mkopo Okwi kwenda Villa
Azam walimtoa kwa mkopo Ngassa kwenda Simba
Simba wakamsainisha mkataba akiwa kwa mkopo, Yanga wakamnunua wakisema haiwezekani Simba wakopwe halau waseme mali yao, leo hii Yanga wamemchukua Okwi akiwa kwa mkopo Villa....................na kumsainisha mkataba