Mkopo wa million 10 Bank kwa ajili ya kutanua biashara

siyumwe

Senior Member
Apr 10, 2017
153
134
Habari za mchana wana jamvi,

Husika na kichwa cha habari hapo kama kinavyojieleza nilikua nahitaji mkopo wa million 10 bank kwa ajili ya kutanua biashara yangu lengo la kuanzisha uzi huu ni

1.kupata ushauri wa bank ipi ina rate nzuri

2.kujua vigezo vipi watakavyohitaji kwa kias hiko tajwa n.b(hati ya nyumba na kiwanja kipo ipo)

3.kupata uzoefu kwa walio wai kukopa kiasi hicho na kuendelea

Asanteni sana ,nawasilisha
 
Kwa nchi yetu (hali ya uchumi kwa sasa) na interest za benki zetu inabidi utweleze unataka kufanya bihashara gana!!!

SITAKI KULAUMIWA
 
Back
Top Bottom