Mkopo wa mbunge anayejiuzuru kama rostam unarudishwa vp au ndio kwishnei (Naomba Mnijuze) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkopo wa mbunge anayejiuzuru kama rostam unarudishwa vp au ndio kwishnei (Naomba Mnijuze)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gugwe, Aug 30, 2011.

 1. Gugwe

  Gugwe Senior Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mara kwa mara hili swali limekuwa likijirudia rudia katika fikira zangu, ni namna gani mkopo wa mbunge aliyeaamua kujiuzuru kwa sababu mablimbali au hata ile ya kukimbia siasa "uchwara" unarudushwa? yaani marejesho yake yanaendelea au ndio na wenyewe unapotea kiaina? na kama anaendelea kurudisha ni kwa namna gani?

  Na inapotokea amechaguliwa mbunge mpya anachukua/kupewa mkopo mpya na mafao yote kama mbunge bila kujali muda anaoingia bungeni, au anaendeleza/anachukua kiasi kidogo kulingana na muda uliobaki? Assuming kwamba na mbunge yuleyuel na jimbo lile lile?

  Na kama akipewa mkopo wote huwa wanawezaje kurudisha ndani ya wakati lets say muda umebaki miaka miwili, bunge linahakikisha vipi huyu mbunge mpya anarudisha mkopo wote kabla ya muda wake kuisha? Ni maswali tu yananisumbua kichwa naomba mnijuze.
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  We unaona Rostam ni mtu wa kukopeshwa au yeye ndiyo anakopesha watu?
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  lile shanging vip?
   
 4. j

  jhaule Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanabebana tu hao magamba si unaona hata spika hazungumzii?yaan walalahoi tunaliwa sana nchi hii
   
 5. MTU MREFU

  MTU MREFU Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  jibu hoja huo ni mfano tu ndugu yangu
   
 6. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #6
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  [​IMG] By Mwita25 [​IMG]
  We unaona Rostam ni mtu wa kukopeshwa au yeye ndiyo anakopesha watu

  Mwita25 = Steven Wasira
   
 7. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #7
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Kwa fedha ambazo Rostam anazidai kwa magamba, hawawezi kujitikisa.
   
 8. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  pesa za mkopo wanazopewa wabunge sio za chama ni za walipa kodi shame on you kwa hio mbunge akifa au akiacha inakula kwetu lazima tulipe deni la taifa
   
Loading...